shamp
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 225
- 215
Kweli nimeamin humu jf hakuna masikin kila mtu ni tajiri watu wanajinadi sana sa cjui na mm nijifanye matawi saana ili tuende sawa mana kila mtu anamwaga sifa ya tumilion milion imebak kawaida nimeipenda sana jf na mimi lazima niwe kama wao au mnasemaje wakuu