Kwa maana yake kule kwenye majukwaa ya kidhungu unaweza kuwa unandika kimatumbi, halafu inabadilisha unaenda nao sambamba, walitukwaza sana na kujifanya wanajua lugha

AI inabidi itumiwe kwa uangalifu inajaribu kurahisisha mambo, lakini wakati huo huo inaibua mengi chanya na hasi kuanzia kupotosha / ukweli, kukupa mlaji lugha inayodhani mahali ulipo unaitumia n.k