Kumbe Japan anamgwaya N. Korea.

Sawa mi ni mbumbu lakini nawe jiulize UN inauwezo wa kuizuia N.K isirushe missile??
 
Hoja zako za kitoto sana kwaiyo kombora la Kim alinagharama ili tuamini sababu za kutolitungua ni gharama kama ni kweli basi USA NA mjapani washashindwa vita mana hakuna vita isiyo na gharama
 
Hizi ni imagination tu.. Japan haiwez kuishambulia NK kwa dakika. Kwanza ki jiografia inakuwa ngumu. Maana wametenganishwa na bahari. So kama ni kuwapiga lazima watatumia labda kurushiana makombora ama watumie uvamizi wa baharini kuwafata North Korea kitu ambacho sio kirahisi kihivo.

Ingekuwa ni rahis kumpiga NK America angeshafanya hivo miaka mingi sana iliyopita. Ila hajafanya kwa sababu vita itakuwa ni ngumu mno. Na kwa mahesabu yake na jinsi NK inavo advance uwezekano unakuwa ni mdogo.
 
The only advancement of N.Korea is just to acquire Nuck technology ambayo mpaka sasa hawajafikia mwisho ingawa wenyewe wanadai hivyo. According to diplomatic research bado kidogo ila wana uwezo wa hayo makombola yanayoishia hewani. Japan anaweza kumpiga NK ila haruhusiwi na sheria za UN na hawezi nenda vitani na nchi yoyote labda kusaidia misaada ya kibinadamu. Angeamua kupigana hata kesho angeweza lakini huwezi pigana na kichaa. Mtu anamtumbua uncle wake kwa bomu la kutumbulia ndege huyo kweli ni binadamu? It is a One man regime. Japan haijasahau Nagasaki na Hiroshima hivyo hawawezi cheza mchezo mchafu huo. US will never apply such a thing too as well as any developed country in the world. You need to be crazy to use such a deadly weapon
 
Kuna tofauti kubwa kati ya heshima na uoga.

North Korea kupitia kwa yule kiongozi wao ni kama suicider (mjitolea kufa)....na walisema Wahenga usishindane na Mjinga Watu hawataiona tofauti yenu.

Japan wanafunika kombe Mwanaharamu tu apite zake, si sawa kutafsiri hilo kama unyonge.
 
Ninapata shida kukuelewa, inaonyesha uwezo wako wa kutafakari kwa kina na finyu Sana.
 
Japan kwa Sasa hana uwezo wa kumpga korea. Yeyote anayeenda kulima afu anaangalia nyuma si mkulima. Japan anaogopa sheria za UN. Lakini kaa ukijua N.K lilikuwa koloni la japan, pengine N.K hichi ndo kinamuuma sana anataka alipe kisasi kwa namna yeyote. US imevunja sheria za UN mara nyingi tu alikadhalika Japan Sasa iweje kwa N.K kuwe na kigugumizi
 

Hawa Mongolians wanaakili sana awatak kuharibu nchi zao kwa faida ya mzungu kama yaliyo na yanayo tokea kwa nchi za kiarabu. Mi nafikir kunaufitin mkubwa sana wa chini kwa chini ambao ni ngum kuugundua, sitak kuamin kama Japan atafurah nchi yake iwe kwenye shida kwa faida ya us. Kwanza mjiulize chanzo cha huu mgogoro ni nin na kwa nin, kisha angalia Japan yeye anafaidika vp hata aingie kwenye matatizo ili us aweze timiza mapenz yake.

Mim mtazamo wangu ambao najua nitakuwa tofaut na wengi maana mawazo hayawez fanana, hawa mongolians (china, japan and koreans) wanataka kumtoa us hasa ktk kuweka majesh yake huko kwa japan na SK.
Wananchi wa Japan walisha pinga sana uwepo wa kambi za jesh za US kwao na wakiwa wanajua yaliyo tokea na wakiwa wanajua ayatendayo US kwa nchi zingine.

Kama mnakumbuka Trump alipo sema lazima SK na Japan wachangie gharama za kuwalinda raia wa hizo nchi walisema nin.

Leo NK amekuwa kama kibaraka wa wenzake ili US akifunga kambi zake huko itakuwa na furaha kwa mongolian wote
 
North korea ilikua koloni la japan
Japan waliwatesa sana north korea kweli mungu si athumani leo north korea anamtunishia misuli mkoloni wake wa zamani
Leo mkoloni anampigia magoti koloni lake north korea
 
Mkuu kdogo umeongea point
 
North korea ilikua koloni la japan
Japan waliwatesa sana north korea kweli mungu si athumani leo north korea anamtunishia misuli mkoloni wake wa zamani
Leo mkoloni anampigia magoti koloni lake north korea
Pengine ni kisasi
 
Nilitaka nikupuuze,lakini imebidi nikujibu kwasababu hujui historia ya japan na watu wake.Kwanza inaoneka na hujui kuwa hata watu wa korea kwa asili ni kizazi cha mjapan! Inaonekana hujui pia kuwa mjapan amewahi kuwa mkoloni wa mataifa karibia yote ya south asia na north asia!Inaonekana hujui mjapan akiamua kupigana anakuwa kama pepo na hakuna wa kumuweza, muulize kitu marekani alifanywa na mjapan mpaka akaamua achukue maamuzi magumu ya kuteketeza hiroshima na nagasaki kwa nyuklia ili tu kumfanya tu mjapan aache vita,maana alikuwa anamfanyia kitu mbaya.Nadhani hujui mjapan akiamua kuwa mkatili anakuwa mkatili kuliko kitu chochote!Refer kitu japan alifanya Singapore vita ya pili ya dunia.
Cheza na wote usicheze na mjapan dunia hii!Fatilia kujua desturi ya kitu kinaita kamikaze na mashujaa wa samurai ndo unaweza pata idea naongelea nini
 
Hivi story mnatoaga wapi.Japan ana silaha za kinyuklia za kutosha,manowari za kutosha na silaha za kutosha.Soma mkuubujiongezee maarifa.kila kitu ukigoogle utaona
 
Kumbuka wenye nguvu hushindwa mda mwingine. Hujui kama USA ilkuwa koloni, na walipigwa sana viboko lakini Leo wamekuwa wababe wa dunia Basi pia hata North Korea kutoka ukoloni hadi kumtishia amani japan
 
Mkuu ukiwashakuwa na kombora la kinyuklia hakuna wakukuchokoza tena....munaheshimiana wote heshima ya kambale wote kuwa na ndevu...japani ana kila aina ya teknolojia lkn c teknolojia ya kuzuia kombora lile huwa halizuiliki...ukilizuia madhara yake huwa ni makubwa zaidi bora liende lilikotumwa mkuu....Japan na korea ya kusini walielewana mlinzi wao awe marekani ndo kinachowagharimu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…