simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
Hawezi kutumia ni defensive mechanism kazungukwa na maadui kwani yeye ni juha hapendi regime yake anajua atapigwa. So kuwa Nazo means hatoguswaJapan ina uwezo wa kuisambaratisha N korea kwa dakika ila haiwezi sababu baada ya vita ya pili ilisign pact ya kutokupigana na haikuruhusiwa kuwa na jeshi soma masharti ya UN baada ya vita ya pili ya dunia. N. Korea hawajali nani ataishi wala nani atakufa hivyo wapo tayari kutumia nuklia bomb ambayo itaangamiza siyo tu japan hata viumbe around where it will reach. Kwanini marekani inasita kuishambulia n korea ni hilo tu. Pakistani na India wamezozana sana lakini hawawezi tumia ile kitu wataua waliomo na wasiokuwemo.
Vita ya nuklia ni mbaya na yule dogo kichaa anaweza amua kuitumia bila kujali kitu.Hana mtoto ana mke tu hivyo he can finish the dynasty basi.
Kwa hiyo Japan hawajamwogopa sababu nchi zote zenye uwezo huo zinaogopana ila ikifikia kipigo cha kawaida, kisheria japan hairuhusiwi kwenda vitani na nchi yotote baada ya vita ya pili the same as ujerumani na italia. inabidi wapewe kibali na mataifa yaliyowapiga kwenye 2 world war according to the pact.Hawezi kutumia ni defensive mechanism kazungukwa na maadui kwani yeye ni **** hapendi regime yake anajua atapigwa. So kuwa Nazo means hatoguswa
Hapana Mkuu, Kim anamtoto, kumbuka hivi karibuni ntoto wake alipewa cheo cha kuteni akiwa na almost 8 yearsJapan ina uwezo wa kuisambaratisha N korea kwa dakika ila haiwezi sababu baada ya vita ya pili ilisign pact ya kutokupigana na haikuruhusiwa kuwa na jeshi soma masharti ya UN baada ya vita ya pili ya dunia. N. Korea hawajali nani ataishi wala nani atakufa hivyo wapo tayari kutumia nuklia bomb ambayo itaangamiza siyo tu japan hata viumbe around where it will reach. Kwanini marekani inasita kuishambulia n korea ni hilo tu. Pakistani na India wamezozana sana lakini hawawezi tumia ile kitu wataua waliomo na wasiokuwemo.
Vita ya nuklia ni mbaya na yule dogo kichaa anaweza amua kuitumia bila kujali kitu.Hana mtoto ana mke tu hivyo he can finish the dynasty basi.
Daah nimekumbuka "KAMIKAZE" ile style ya wajapan vitani.Japan
.........ndio mbabe pale Kati ila anakumbuka kilichompata wakati wa vita ya pili ingawa katika sura ya dunia ndio nchi pekee iliyoipa USA kichapo kizuri....pearl harbor
Inaonekana magaidi ya kiarabu yaliiga suicide from kamikaze. Tofauti ni kwamba kamikaze ililenga kumwangamiza adui wa taifa lao wakati magaidi ya kiarabu wanalenga wasio na hatia.Daah nimekumbuka "KAMIKAZE" ile style ya wajapan vitani.
Mkuu hizi chenga!. Japan hana nuclea siraha hata moja!.Japan ilizitawala nchi nyingi za Asia
China,Korea zote,Philippine na visiwa vingi.Baada ya kushindwa WWII walisini pamoja na Ujerumani
Hakuna kupinga vita.Kwa bahati nzuri wametumia akili zao kutengeneza vitu duniani.Leo hii vitu madhubuti vinatoka Japan na Ujerumani.Bila ya kusahau Japan wanayo Manuklia kibao Kati ya hizo
Zinazalisha umeme.
Eti Japan ina mgwaya NK soma mkuu
Nisome nn Sasa? UKweli ndo huo japan anamgwaya N.K kisingizio cha kusaini mkatab kutopgan vta n porojo 2. Hupgan vta Sasa siraha nzito za kivita za nn wakt Huna ma2miz nazo?? Ndomana hakubase sana kwny utengenezaj wa siraha nzito. So hana vfaa vya kumpga N.K. Japan 4 now hana uwezo wa kumpga N.KJapan ilizitawala nchi nyingi za Asia
China,Korea zote,Philippine na visiwa vingi.Baada ya kushindwa WWII walisini pamoja na Ujerumani
Hakuna kupinga vita.Kwa bahati nzuri wametumia akili zao kutengeneza vitu duniani.Leo hii vitu madhubuti vinatoka Japan na Ujerumani.Bila ya kusahau Japan wanayo Manuklia kibao Kati ya hizo
Zinazalisha umeme.
Eti Japan ina mgwaya NK soma mkuu
Hahaha Umaskini haupambiki. Ww unadhan japan atakuw na siraha za kumpga N.K? Huyo chizi ni chiz gan asiyezuiliwa mpk Leo? Pia lazm utie shaka nguvu ya Huyo chizi. Hata hvyo ushasema chizi Y akuzd maarfaKama wewe una akili timamu lakini humuogopi chizi aliyeshika panga kiasi cha kuamua kupita karibu yake kisa tu na wewe una panga, werevu lazima tutilie shaka umakini wako. Haiwezekani uwe mtoni unaoga, aje mwendawazimu abebe nguo na kukimbia nazo, halafu na wewe utoke kwenye maji uanze kumkimbiza kisa una mbio sana.
NK ina bargaining chip ambayo ni nuclear weapons. Hakuna nchi itaigusa NK. Hata USA wakitaka kuipiga NK watahitaji timing kali kama ya kumchinja kobe. Nuke haifai, imagine miaka 30 baada ya ajali ya nuke ya Chernobyl, mpaka sasa eneo hili halikaliki.