Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Duh! Watu wanasubiri huduma yeye anacheza gemu?
Ha ha ha kwahiyo kwenye foleni kama zile za TRA huwa unafanyaje? Au huwa unapiga anti-queue kibabe?Hii ndo tabia itanigeuza mhuni siku moja yaani bila ilani nivuke ndani ya ivo vijisanduku vyao nichinjechinje mtu mimi! Nina allergy ya kupiga foleni, hii tabia naichukia sana huwa inanigeuza wazimu nikijipata hapo bila shaka lazima niliamshe dude pap! Yes, am that guy.
anti-queue...!!! umenikumbusha enzi za chuo kwenda kula, aiseeeHa ha ha kwahiyo kwenye foleni kama zile za TRA huwa unafanyaje? Au huwa unapiga anti-queue kibabe?
Chuo gani?anti-queue...!!! umenikumbusha enzi za chuo kwenda kula, aiseee
Prove.Photoshop iyo wewe
Hahahaha duwananchi watasimama hapo kwenye foleni kama mishumaa ya pasaka.
Hapo kawaambia umeme umekatika kwenye kompyuta yake kwahiyo wasubiri kidogo kama utarudi ndo aendelee na huduma.Duh! Watu wanasubiri huduma yeye anacheza gemu?
Ha ha ha kwahiyo kwenye foleni kama zile za TRA huwa unafanyaje? Au huwa unapiga anti-queue kibabe?
Hiyo hapa Kenya itakuwa ni KRA, zamani ilikuwa ni lazima ufike hadi HQ zao pale Times tower, Nairobi, kwa hivo foleni kawaida yake zilikuwa ni ndefu. Siku moja nimefika hapo foleni hadi nje ya geti na ni siku ya mwisho. Nilichapa hatua kubwa kubwa nikiwa nimejiamini moja kwa moja hadi kwa teller akaniambia kijana foleni haianzi mbele ikienda nyuma. Nikamuambia huyo mzee mwenye koti nyekundu uliyetoka kumhudumia, nilikuwa mbele yake akanituma dukani nimletee painkiller na maji ya kunywa, nimechelewa kidogo. Jamaa alinichapa kijicho lakini hakuwa na budi ila kunihudumia.Ha ha ha kwahiyo kwenye foleni kama zile za TRA huwa unafanyaje? Au huwa unapiga anti-queue kibabe?