Madadiito na mashostito tupeane ratiba.
Mi nikitoka ofisini Brake ya kwanza home napiga maji nakua soap soap.
Naanzia Uhuru garden kwa kupata samaki foil. na Tusker lite moja au Mbili.
Baada ya hapo kituo cha pili ni Mlimani city ya Tegeta. Mpaka saa tano hivi usiku.
Nikitoka hapo Brake ni Maisha Club
Tatizo sina Company.
babii went
Last edited by a moderator: