Kumbe hizi ndio zao

Wapumbavu hapo atashikilia hili likamera mpaka hilo joka limmeze.
 
Huyo nyoka ni jipu! Si ammeze cameraman na camera yake!
 
Haya sio maigizo wazee
Hilo tukio lilinaswa toka kwenye autocam iliyochimbiwa ardhini kwa ajili ya kunasa matukio mbalimbali ya wanyama ndio hiyo cam ikanasa na hilo tukio angalia mshale ulipotokea
 
Huyu ni chatu akitaka kumeza kiumbe lazima akibane hivyo akivunjevunje ndio ameze na hivyo ndio afanyavyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…