Facebook its depends on how u use it, Mi inanitoa kibiashara kupitia group fulani ndani yake na linanikutanisha na watu 1200 ambao ni jinsia,rika na mataifa mbalimbali.Sitaitendea haki kwa kusupport idea yako maana hata viongozi wakuu na wanasiasa maarufu wanatumia facebook kuwasiliana.