TUTU wa Jijia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 727
- 567
Ndiyo mie huwa nafikiri hata hapa kwetu kama ingetokea chama cha upinzani kushinda uchaguzi,sijui kama wangetaka wafanye yale ambayo wanataka yafanyike kwenye tume ya uchaguzi kwa sasa.Usinge saidia chochote..
Kipindi cha kampeni Trump aliiponda sana hyo kura lkn aliposhinda kaisifia.. unafki umeanzia USA
Mkuu kura ya Electocollege inatokana na hawa ambao hawajapiga kura, kimsingi Electocollege members ni waidhinishaji tu kwani Popular vote zinakuwa tayari zimeleta effect!! Kila Jimbo lina idadi ya Electocollege vote zinazotokana na kushinda popular vote ya Jimbo husika.Ila si inasemwa kura itakayompitisha rais siyo ya hawa wanaokamatwa? Ila ile ya electoral college.
Wangepiga ingekua na mchango gani?
Ingewawezesha kuwapata electoral college ambao wangempigia kura Rais waliyemtaka wao...Ila si inasemwa kura itakayompitisha rais siyo ya hawa wanaokamatwa? Ila ile ya electoral college.
Wangepiga ingekua na mchango gani?
[HASHTAG]#MAREKANI[/HASHTAG] Polisi wamewakamata waandamaji 112 wanaompinga Trump, kati yao takribani 70 hawajapiga kura uchaguzi wa Rais wa hivi karibuni millard ayo on Twitter..
Yaani mtu hajapiga kula lakini anakuwa mstari wa mbele kuandamana... je nalo hili litakuwa ukosefu wa ajira unaowakumbumba vijana wengi walioko US.
Nimegundua ukiona vya elea vimeumbwa.....
Dunia sa hivi inaongozwa na ujingaujinga tuTrump amesababisha tumejua upumbavu na unafiki wa wamarekani.
Asante= kura
Ndiyo kusema popular votes zina influence katika electoral college? Hata kama ni hivi waandamanaji wengi wapo majimbo ambayo yalimpa ushindi Hillary, wakati wale waliompa ushindi Trump wametulia.Mkuu kura ya Electocollege inaokana na hawa ambao hawajapiga kura, kimsingi Electocollege members ni waidhinishaji tu kwani Popular vote zinakuwa tayari zimeleta effect!! Kila Jimbo lina idadi ya Electocollege vote zinazotokana na kushinda popular vote ya Jimbo husika.
Distribution of Electoral Votes
Electoral votes are allocated based on the Census.
The allocations below are based on the 2010 Census.
They are effective for the 2012, 2016, and 2020 presidential elections.
Total Electoral Votes: 538; Majority Needed to Elect: 270
State Number of Electoral Votes
Alabama 9
Alaska 3
Arizona 11
Arkansas 6
California 55
Colorado 9
Connecticut 7
Delaware 3
District of Columbia 3
Florida 29
Georgia 16
Hawaii 4
Idaho 4
Illinois 20
Indiana 11
Iowa 6
Kansas 6
Kentucky 8
Louisiana 8
Maine 4
Maryland 10
Massachusetts 11
Michigan 16
Minnesota 10
Mississippi 6
Missouri 10
Montana 3
Nebraska 5
Nevada 6
New Hampshire 4
New Jersey 14
New Mexico 5
New York 29
North Carolina 15
North Dakota 3
Ohio 18
Oklahoma 7
Oregon 7
Pennsylvania 20
Rhode Island 4
South Carolina 9
South Dakota 3
Tennessee 11
Texas 38
Utah 6
Vermont 3
Virginia 13
Washington 12
West Virginia 5
Wisconsin 10
Wyoming 3
Pamoja n hayo mama kashinda popular votesMkuu kura ya Electocollege inatokana na hawa ambao hawajapiga kura, kimsingi Electocollege members ni waidhinishaji tu kwani Popular vote zinakuwa tayari zimeleta effect!! Kila Jimbo lina idadi ya Electocollege vote zinazotokana na kushinda popular vote ya Jimbo husika.
Distribution of Electoral Votes
Electoral votes are allocated based on the Census.
The allocations below are based on the 2010 Census.
They are effective for the 2012, 2016, and 2020 presidential elections.
Total Electoral Votes: 538; Majority Needed to Elect: 270
State Number of Electoral Votes
Alabama 9
Alaska 3
Arizona 11
Arkansas 6
California 55
Colorado 9
Connecticut 7
Delaware 3
District of Columbia 3
Florida 29
Georgia 16
Hawaii 4
Idaho 4
Illinois 20
Indiana 11
Iowa 6
Kansas 6
Kentucky 8
Louisiana 8
Maine 4
Maryland 10
Massachusetts 11
Michigan 16
Minnesota 10
Mississippi 6
Missouri 10
Montana 3
Nebraska 5
Nevada 6
New Hampshire 4
New Jersey 14
New Mexico 5
New York 29
North Carolina 15
North Dakota 3
Ohio 18
Oklahoma 7
Oregon 7
Pennsylvania 20
Rhode Island 4
South Carolina 9
South Dakota 3
Tennessee 11
Texas 38
Utah 6
Vermont 3
Virginia 13
Washington 12
West Virginia 5
Wisconsin 10
Wyoming 3
Popular votes hazimsaidii kwa sababu idadi ya Electocollege katika kila jimbo iko fixed, mfano unaposhinda popular votes nyingi kwenye Jimbo kama Hawaii, Idaho, Uttah au Maine hakuna impact kwenye electocollege vote,Mgombea Anaweza kupata popular vote nyingi kwenye hayo majimbo na zikaongezea accumulation yake lakini bado namba ya electocollege members inabaki ile ile katika Jimbo.Pamoja n hayo mama kashinda popular votes
Kwa hizi kura transparency yake ni ngumu sana kuaminika.Popular votes hazimsaidii kwa sababu idadi ya Electocollege katika kila jimbo iko fixed, mfano unaposhinda popular votes nyingi kwenye Jimbo kama Hawaii, Idaho, Uttah au Maine,Anaweza kupata popular vote nyingi uko zikaongezea accumulation yake lakini bado namba ya electocollege members inabaki ile ile katika Jimbo.
Electocollege vote haina kificho kwa sababu inakuwa tayari decided, Hawa senators na Representative wakikaa Wanapitisha tu matakwa ya maamuzi ya Popular vote za majimbo yao.Kwa hizi kura transparency yake ni ngumu sana kuaminika.
Pia hawa ni rahis sana kupewa rushwa.