Kumbe hawa boko-haram ni magumashi tu!

Kumbe hawa boko-haram ni magumashi tu!

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,751


11988507_10152889125996599_3617525151903727600_n.jpg
 
Acha tu, huyo Mungu anayekuambia uue watu, wanaume, wanawake, watoto...lazima huyo Mungu atakuwa MWENDAWAZIMU.....
 

Wahuni wa tu hawa, hawana cha dini wala nini.
 
Ajira ndiyo tatizo kubwa hata tanzania tukae chonjo,ccm ikiendelea kutawala tutegemee haya siku sii nyingi
 
Back
Top Bottom