Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Ni nimependa ubunifu waoDaah! Wakitoka hapo wako hoi sababu nguvu inayotumika hapo si ndogo.
Yah! Ni wabunifu ndugu ila wanatumia nguvu mnoo japo kikawaida wanasema mwenye kazi yake huwa unafuu anaujua ye mwenyewe na ndio sababu usishangae wakawa wanaifanya miaka nenda rudi hiyo kitu kwani wamesharidhika wenyewe.Ni nimependa ubunifu wao
Ni kweli nduguYah! Ni wabunifu ndugu ila wanatumia nguvu mnoo japo kikawaida wanasema mwenye kazi yake huwa unafuu anaujua ye mwenyewe na ndio sababu usishangae wakawa wanaifanya miaka nenda rudi hiyo kitu kwani wamesharidhika wenyewe.