Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Sasa hapo sala iishe akute mzigo umesepa,nakwambia patanuka hapo so mchezo
Nilikuwa najiuliza swali kuwa hivi ikitokea kuna mtu anaichomoa wakati sala ikiendelea je ataendelea na sala au fasta ataendesha kichapo?Sasa hapo sala iishe akute mzigo umesepa,nakwambia patanuka hapo so mchezo
Hapo sala lazima ikatishwe ili alinde mzigo usiondokeNilikuwa najiuliza swali kuwa hivi ikitokea kuna mtu anaichomoa wakati sala ikiendelea je ataendelea na sala au fasta ataendesha kichapo?