After all hakuna aya yoyote ndani ya Qur'an inayosema kuwa Mahakama za Kadhi LAZIMA zianzishwe na kuendeshwa na Serikali!!Serikali haina dini isipokuwa watu wake. Ndo maana tumetupilia mbali muswaada wa mahakama ya kadhi kujadiliwa bungeni.
After all hakuna aya yoyote ndani ya Qur'an inayosema kuwa Mahakama za Kadhi LAZIMA zianzishwe na kuendeshwa na Serikali!!
Wakuu,
Kumbe hata Wakristo wana Mahakama zao, Serikali ifike mahali itungie Sheria Mahakama za Kanisa ili zitambuliwe kisheria na kama ikiwezekana Kikatiba! Naomba kutoa hoja!
![]()
Mfumo wa mahakama uliopo sasa hivi ni wa kikiristo, kwa zaidi ya asilimia 90. Na huu uliachwa na wakolon waingereza ambao walikuwa wakiristo. Kwa maana hiyo basi sheria za nchi ni za kikiristo