Niwemugizi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 902
- 462
Baada ya kupata ushauri mbalimbali kutoka kwa wana JF hatimaye tumeambatana na mama kwenda kwenye mpira leo.Tumeanza na gemu la Liverpool na Everton kwa kuwa sehemu nayoangalizia ni full makelele kipindi cha kwanza kilipoisha tu akaamua kuondoka zake akasema mpira ukiisha nirudi nyumbani.Lakini wapi sikurudi wala nini imebidi niunganishe na wa Chelsea na Man United. Kusema ukweli huyu refari wa gemu la Man na Chelsea kaharibu mpira sana haiwezekani kuwapa wachezaji wawili kadi nyekundu.Kiuwazi Man wamebebwa na kila siku wao ni kubebwa tuuuuuuuu na kwa mwendo huu Man U hawafiki mbali kwenye Champions league maana kule hakuna mambo ya FA na marefari wa England.Mi nilidhani tu Man huwa wanabebwa na Howard Web kumbe ni makakati wa FA nzima