Kumbe hadi mkewe anajua

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
50,568
71,448
Screenshot_2017-02-28-17-07-57-1.png
alipost 2016 kumbe anajua mmewe ni daudi
 
Wewe unataka nani aseme ndipo uamini ndiye, mbona kila mmoja anamwanzishia uzi huyu bwana mdogo?
Tulieni sasa, mkulu anashughulikia!
 
Wauzaji/watumiaji wa ngada wanahangaikaa....!!
Ina mana hapo kabla hamkujua jamaa alikuw anaitwa D??!!
 
Walijua ila hakukuwa na haja kuibua....sa hv anazingua watu kiuonevu ndio maana wanamuibukia
 
Wauzaji/watumiaji wa ngada wanahangaikaa....!!
Ina mana hapo kabla hamkujua jamaa alikuw anaitwa D??!!
Kuna watumishi wametumia vyeti vyao feki miaka mingi tu iliyopita ila magufuli ndio anawatumbua sasa! So stay low! Not yet too late! Ukiikutana naye mwambie tu wana Dalisilama wanaomba kutambua Elimu yako sahihi mheshimiwa mtukufu Bashitee
 
Back
Top Bottom