amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
Anatisha mbaya, mtu wetu yupo ndani ya 18 kuelekea ikulu mtu wao nusu uwanja hajafika.perez anatisha kwa usajili
Kamanda wa anga Freeman Mbowe bingwa la usajili a.k.a Florentino Perez alikuwepo pia Pemba leo kuhakikisha game inaisha kwa tatu bila.
perez anatisha kwa usajili
Tukiwapa nchi, mitambo ya kuchakata gesi ya Mtwara itajengwa Arusha.Kwenye PESA bhanaaa, daah, ,,yaani NCHAGGA Chi NTU kabisaa, anaweza fanya lolote.
Si wa kuwaamini hata kidogo, na hawanaga aibu. Wamepewa nyadhifa za uwaziri tu ona barabara hadi mashambani mwao.
Hawa akina UFooo SAroo ni matatizo.
Basil Pesa MBili MRamba, Daniel Yona. ..hahah
Wapi Babu Duni?
Jamani pemba ina hali ya hewa nzuri sijui kwanini watu kule ni mafukara?
Wakat mbowe anawakutanisha watu wenye faida nchini pamoja,kule kuna dafu linawakutanisha dimondi na wema pamoja....
Ni hasara kiasi gani diamond kaiingizia nchi hii? Ikilinganishwa na lowass?