Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

mushongokle

Member
Sep 23, 2014
95
113
Kama wewe ni mtumiaji wa hii Bara Bara ya Ubungo hapa makutano ya mataa tangu wameweka huu mzunguko kumekuwa na uanafuu wa foleni ukilinganisha kipindi Cha nyuma japokuwa kuna ujenzi kama vipi na sehemu Zingine kolofi waondoe mataa waweke mzunguko

Habari wadau...

Hii fake round about walioweka wachina hapa Ubungo imeonesha elimu yetu haitusaidiii hata kusolve matatizo yetu ya kila siku.

Kabla hata hatujapata hela za flyover tatizo la foleni Ubungo tungeweza lipunguza kwa hii style.

Hizi engineering degree za pale COET zinawaza kukamatana SUP tu.

Mchina katuonesha dharau sana kafuta 80% ya foleni kabla hajaanza hata kujenga flyover yake.


Aibu zenu mnaotunga syllabus za kijinga zisizoweza hata kutatua matatizo.
1553167055638.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom