Karibu sana
Grenade
Naomba kukutambulisha wake zangu wapendwa nikianza na Kipenzi changu toka moyoni kwa juu kabisa bibie
Amyner (Kwa sasa yuko busy na majukumu ya Kifamilia so hujamuona humu), Bibie
Remmy (Huwa anatuliza moyo wangu kwa kipindi ambapo
Amyner haupo),
BADILI TABIA (Huyu Hajatulia nimemtema kama wewe ni ME beba mzigo),
The secretary (Huwa akimiss mambo yangu anakuja home kujisevia),
Preta (Nilishinikizwa kumuona na
PakaJimmy ila nampenda sana sema ni kiruka njia sana mara kwa
TANMO mara kwa
KakaKiiza mara kwa
mtu chake yan utulivu F)
Kongosho ndio alinifundisha tendo tamu..na kama nilivyomfundisha
King'asti
Dah nahisi bado wengi naomba
Mr Rocky aje anisaidie kukutambulisha ila ukionana na
Yummy ,
Dena Amsi ujue Ni wake za
Mr Rocky
Mwisho nakutambulisha dada yangu
Blaki Womani na
sweetlady
Pia siwasahau Mods wenzangu
Paw (Mume wa
King'asti ila inaniuma sana),
Roulette (Miss you Madame), na
Fang na
Meezy