Kumbe Chawa nao hufa bana!

Kumbe Chawa nao hufa bana!

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,799
Reaction score
7,613
Wakuu,

Chawa nao hufa banaaa! Nacheka lakini naogopa (kwa sauti ya Bambo). Mmeua halafu mnataka mtamalaki?

Mi nawaletea TBT tu Wakuu wangu, team chawa tuje na povu kwa step nguo zangu zote ziweze kufuliwa vizuri😌😌.

Tunamshukuru Rais Samia kwa kuongoza vizuri kuagwa kwa Lukuvi, jina la bwana lihimidiwe, Shalom Aleykum.

View attachment 3563645
Gentleman salam Mkuu Tlaatlaah 😌😌
 
šŸ˜‚šŸ¤£šŸ¤£šŸ¤£
Halafu huyu ndugu alikuwa na haiba inayofanya watu waone kama ni mtu mwenye busara kweli kweli. Alivyokaa-kaa, anavyovaa, sauti yake na body language wakati anaongea. Utadhani ni mtu anayezungumza kitu cha maana, ukweli na busara sana. Kumbe anasema uongo wa mchana kweupe bila kujali utu wala nchi. Kweli duniani kuna watu wanafiki.
 
Wakuu,

Chawa nao hufa banaaa! Nacheka lakini naogopa (kwa sauti ya Bambo). Mmeua halafu mnataka mtamalaki?

Mi nawaletea TBT tu Wakuu wangu, team chawa tuje na povu kwa step nguo zangu zote ziweze kufuliwa vizuri😌😌.

Tunamshukuru Rais Samia kwa kuongoza vizuri kuagwa kwa Lukuvi, jina la bwana lihimidiwe, Shalom Aleykum.

View attachment 3563645
Anapongeza mauaji ya halaiki basi ni halali watu kufurahia kifo chake
 
Anapongeza uchaguzi batili ulioua maelfu ya ndugu zetu,. Hakika CCM na wana CCM ni laana kwa taifa hili. Apumzike panapomstahili
 
Kwa namna hii huwezi kuzuia raia wasifurahi.....wanasema anayecheka mwisho ndo hucheka sana.
 
Back
Top Bottom