Kumbe CHADEMA walijiua wenyewe BUYUNGU

Kumbe CHADEMA walijiua wenyewe BUYUNGU

Unaweka mgombea aliyempiga mama yake halafu unategemea ushindi?
 
Chadema waliangalia uchaguzi ila hawakuwaza wakinanan watapiga kura
 
Source imeonesha wazi kabisa jinsi CHADEMA ilivyoshindwa kuwekeza kwa dhati katika kata tajwa ambazo CCM waliwekeza kimkakati baada ya kushindwa 2015, hilo hamlioni au gazeti la MTANZANIA nalo linachapishwa Lumumba?

Kwa zama hizi huo ndio uandishi unaopaswa kuandikwa. Ukiandika ukweli wa kilichotokea hilo gazeti litafungiwa kwa kutaka kuvuruga amani. Hakuna asiyejua kilichotokea, na sasa watu watahakikisha hawapigi kura ili ccm ishinde vyama na kubaki madarakani lakini sio kwa ridhaa yao.
 
Source imeonesha wazi kabisa jinsi CHADEMA ilivyoshindwa kuwekeza kwa dhati katika kata tajwa ambazo CCM waliwekeza kimkakati baada ya kushindwa 2015, hilo hamlioni au gazeti la MTANZANIA nalo linachapishwa Lumumba?
Kwahiyo msimamizi wa uchaguzi angetengua agizo la rais linalowataka wasimamizi kutomtangaza mpinzani kuwa ameshinda! Haiwezekani.
 
Back
Top Bottom