Hayo maneno aliyoyatunia Kikwete kumshambulia Lissu kwa kusema Lissu ni muongo, mchonganishi , mfitini, mnafiki na mzandiki je Kikwete alikuwepo wakati Lissu anayasema aliyoyasema?Mkuu wewe ni muongo, mchonganishi , mfitini, mnafiki na mzandiki.
Mimi sikuweko huko!!
Ameambiwa!Hayo maneno aliyoyatunia Kikwete kumshambulia Lissu kwa kusema Lissu ni muongo, mchonganishi , mfitini, mnafiki na mzandiki je Kikwete alikuwepo wakati Lissu anayasema aliyoyasema?
Kijana baba yako si anaipiga deki kwa matumizi kila siku?Hiyo heading imekaa kama wale watu wa 0715,0713,ou 0714
chadema ni mkusanyiko wa wahuni
Hata hivyo rais alimheshimu sana huyu bana mdogo;
Alitakiwa akumbushwe maadili kidogo.
Rais wa nchi anapaswa kuongea kwa lugha ya kidiplomasia na siyo lugha za mitaani! Kwa lugha aliyotumia Rais hatumtofautishi na FUTUHI!
ccm ni mkusanyiko wa mafisadi na wachumia tumbo!chadema ni mkusanyiko wa wahuni
kama wewe mkuu!tobo loso ni mteja wa mtaa wa mirembe
Ni kawaida kwa chadema kulalama pale yanapofika makubwa hili la lisu linawasumbua kila kukicha,
Lisu amezoea kutukana wenzake na kutumia maneno ya kuudhi hata akiwa bungeni,
Lisu pia hajaanza leo huu unafiki wake ni wa siku nyingi ila jk alimvumilia sana kwani daima za mwizi ni arobaini sasa zimetimia kwa lisu kuambiwa ukweli wake kazidi umbea na unafiki.
unaona sifa kujiita hivyo?
unaona sifa kujiita hivyo?
Muongo, mchonganishi, mfitini,mzushi na mzandiki wewe!huyu ni yule gaidi mwigulu .....asubiri....
Cheki unavyohangaika na lisu wako kutwa kumtetea kwa talifa yako lisu ni bidhaa chakavu hanunuliki ni sawa na nyanya mbovu ambayo sokoni haikaa zaidi ya siku moja.
Sasa huoni kwa baba mwenye nyumba kuleta lugha za mitaani nyumbani mbele ya watoto ni kujidhalilisha. Nani kaonekana mmbea, mzandiki? Yule mwenye kusema ukweli au yule mwenye kusikia ya kuambiwa baada ya kurudi toka kutalii, mtu mwenye kuelezwa bila kujua kilichojadiliwa kwa kusoma Hansard? Mtu wa kusubiri kufahamishwa ukiwa wewe ndio mwenye nyumba? Kwa hiyo hakuna alichokumbushwa badala yake Lisu kamjibu vizuri kwa kumpa ukweli kuliko kusuburi kuongea umbea wa kuambiwa, kusikia na kufahamishwa
Ni kitu gani kilimsukuma JK kutukana? Ni hisia kuwa anaambiwa yeye mdini kwa kubagua TEC na CCT!Hili sakata limenikumbusha msemo wa muosha huoshwa.
Lissu alipokuwa anatukana mlikuwa wapi?
Katumia lugha nyepesi inayoeleweka;
Kuhusu safari unashangaa nini,
huyu rais wenu kafuata nini, hapo tu hana madaraka
siku akiyapata itakuwaje?
Lissu naye ni wale wale tu ...pangu pakavu tia mchuzi.......