Professor au Laprofeseri?
Kama ni profesa na aitendee haki fani yake na elimu yake. Kama siasa si fani aliyosomea basi kwenye uwanda huo atembee pole pole. Anaweza kuwa profesa mzuri wa kile alichosomea na kubobea lakini akawa mbaya kwenye siasa na misimamo ya kawaida katika masuala muhimu ya kijamii. Yeye si profesa wa kwanza kuingia kwenye siasa. Wapo wengi tu na walio wengi walishindwa kuonyesha tofauti kati yao na waloe ambao hawana ubavu wa kielimu kama wao. Kwa hiyo, ni suala la kutizama vema. Hatuwezi kusema CDM imepoteza mtu muhimu kwa kuwa tu amekuwa profesa, maana CDM si chuo kikuu ambapo profesa anakuwa raslimali muhimu moja kwa moja!Nilikuwa naangalia BBC taarifa ya habari, mara naona Kikeke akimhoji niliyekuwa namjua km Dr Kitila Mkumbo, kumbe kesha ukwaa U-Professor. Sijui ni lini kaupata lakini ni prof tayari. ndo nikaona kumbe chadema imepoteza kichwa muhimu sana. Hongera sana Prof Mkumbo Kitila kwa hatua hiyo
Kama ni profesa na aitendee haki fani yake na elimu yake. Kama siasa si fani aliyosomea basi kwenye uwanda huo atembee pole pole. Anaweza kuwa profesa mzuri wa kile alichosomea na kubobea lakini akawa mbaya kwenye siasa na misimamo ya kawaida katika masuala muhimu ya kijamii. Yeye si profesa wa kwanza kuingia kwenye siasa. Wapo wengi tu na walio wengi walishindwa kuonyesha tofauti kati yao na waloe ambao hawana ubavu wa kielimu kama wao. Kwa hiyo, ni suala la kutizama vema. Hatuwezi kusema CDM imepoteza mtu muhimu kwa kuwa tu amekuwa profesa, maana CDM si chuo kikuu ambapo profesa anakuwa raslimali muhimu moja kwa moja!
Nilikuwa naangalia BBC taarifa ya habari, mara naona Kikeke akimhoji niliyekuwa namjua km Dr Kitila Mkumbo, kumbe kesha ukwaa U-Professor. Sijui ni lini kaupata lakini ni prof tayari. ndo nikaona kumbe chadema imepoteza kichwa muhimu sana. Hongera sana Prof Mkumbo Kitila kwa hatua hiyo

hata JUMA KAPUYA naye ni profesa.
Siasa za Tanzania hazihitaji utaalamu au wasomi. Ni siasa ambazo ni za ubabaishaji, uraghai na ubabe tu. Hivyo hata kama hujaenda shule lakini uwe na kigezo mojawapo wa hivyo nilivyovitaja basi umewini kwenye siasa za Tanzania. CDM hawawezi kujutia kwa kumkosa msomi huyo maana hana sifa hizo