Kumbe chadema imechuja kiasi hiki kigoma.

Kumbe chadema imechuja kiasi hiki kigoma.

Sio hivyo tuu pia wanaongopa kama walivyozoea Raisi muongo waziri mkuu muongo secretariat ya CCM waongo jana ITV,channel ten,Star TV wote walionyesha mtafaruku wa KIbondo kuna mwana JF naye alikuja hapa akatoa ushahidi huyo mfanya biashara alivyomuhonga Nape million tano Nape akalazimisha madiwani wakabwaga, uchaguzi uakahirishwa mpaka siku sitini kama kawaida yao na ujambazi wa kubaka demokrasia wamelazimisha mambo wamebadili kila kitu watu waliosimama kwenye uchaguzi hata kwa upande wa chadema hakuwa yule mwanamke

Mfa maji haachi kutapatapa.
 
Wakuu diwani wa chadema aliyekuwa anagombea nafasi ya uenyekiti wa halmashauri moja huko kigoma amepata kura tatu tu,hii ikanifanya niamini kuwa kweli chadema imechuja sana kigoma,make wapiga kura walikuwa 17 mh diwani wa chadema kaambulia tatu tu.

Kama na wewe ni cadre wa CCM basi tena chama kinaelekea kubaya, mods threads ka hizi msiwe mnaziacha, CHADEMA walipata kura 8, CCM kura 6 na kura zilizoharibika ni 5, sasa sijui hizo taarifa za kura 3 ulizipata wapi!
 
nyoo ccm wote wachangiaji ni vichaa mnaanzisha hoja na unaichangia ukiwa wa kwanza ndizo akili za mwenyekiti wenu,majuha wote nyie
Mkuu jichagulie adhabu make wewe ni kituko maneno yanakutoka tu hata hujitambui pole bwana vumilia.
 
Kama na wewe ni cadre wa CCM basi tena chama kinaelekea kubaya, mods threads ka hizi msiwe mnaziacha, CHADEMA walipata kura 8, CCM kura 6 na kura zilizoharibika ni 5, sasa sijui hizo taarifa za kura 3 ulizipata wapi!
Muongo mkubwa wewe hata aibu huna ulisikiliza tarifa ya habari ya tbc na itv au umeamua kujifurahisha tu.
 
Muongo mkubwa wewe hata aibu huna ulisikiliza tarifa ya habari ya tbc na itv au umeamua kujifurahisha tu.

Ulisikuliza taarifa ya habari ya Star tv au umeamua kuuanika ujinga wako hapa!!?
 
Kama na wewe ni cadre wa CCM basi tena chama kinaelekea kubaya, mods threads ka hizi msiwe mnaziacha, CHADEMA walipata kura 8, CCM kura 6 na kura zilizoharibika ni 5, sasa sijui hizo taarifa za kura 3 ulizipata wapi!
Kama ccm walipata kura 6 ilikuweje wakashinda hizo nafasi zote kweli wewe mtambo unadanya watu mchana kweupe hivi.
 
Back
Top Bottom