mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
Wakuu, nawasalimu kwa mawazo yangu nilivyokiona chadema kwa nje nikajua ni chama chenye umaarufu mijini na pia vijinini kumbe sio kweli. Nimekuwa katika ziara za chama changu ccm katika maeneo ya mikoa mbalimbali na kuja kugundua kwamba chadema hakifahamiki maeneo ya vijijini kama vile mjini mosi katika mikoa hiyo kama iringa vijijini hawajui kuna chadema,kilimanjaro vijiji vya kolyambua,kilasanioni na vijiji vingine hawajui chadema zaidi ya tlp na ccm. Vijiji vingi vya mikoa tuliopita kama korogwe vijijini,songea vijijini,manyara vijijini,singida vijijini huko ni ccm tu inafahamika hakuna chadema. Ombi langu kwa chadema wajipange kwanza kueneza chama chao vijijini kabla ya kuwaza kushika dola kwani ni ngumu sana kama ngamia kupita tundu la sindano. Nawasilisha
kwani wewe ulidhani chadema nani anaijua zaidi ya tengeru na hai.
We unadhan vijjn wanajua kama Nyerere kasha kufa wengi wao wanaulizie chama cha nyerere wanapiga kura ndo ushindi wa ccm !
We we gamba a cha propaganda za kitoto,mtajidanganya wenyewe kwa wenyewe magamba,chadema inazidi kuchanja mbuga.
Kwa hiyo unataka kuniambia Jimbo la Ubungo linaloongozwa na Mnyika, ni sehemu ya Hai, na Jimbo la Kawe linaloongozwa na Halima Mdee, nalo ni eneo la Tengeru?!kwani wewe ulidhani chadema nani anaijua zaidi ya tengeru na hai.
We we gamba a cha propaganda za kitoto,mtajidanganya wenyewe kwa wenyewe magamba,chadema inazidi kuchanja mbuga.
Wakuu, nawasalimu kwa mawazo yangu nilivyokiona chadema kwa nje nikajua ni chama chenye umaarufu mijini na pia vijinini kumbe sio kweli. Nimekuwa katika ziara za chama changu ccm katika maeneo ya mikoa mbalimbali na kuja kugundua kwamba chadema hakifahamiki maeneo ya vijijini kama vile mjini mosi katika mikoa hiyo kama iringa vijijini hawajui kuna chadema,kilimanjaro vijiji vya kolyambua,kilasanioni na vijiji vingine hawajui chadema zaidi ya tlp na ccm. Vijiji vingi vya mikoa tuliopita kama korogwe vijijini,songea vijijini,manyara vijijini,singida vijijini huko ni ccm tu inafahamika hakuna chadema. Ombi langu kwa chadema wajipange kwanza kueneza chama chao vijijini kabla ya kuwaza kushika dola kwani ni ngumu sana kama ngamia kupita tundu la sindano. Nawasilisha
Kufahamika maana yake nini?? Mbona CCM kijijini kwetu hawaijui kabisa.
Kwa hiyo unataka kuniambia Jimbo la Ubungo linaloongozwa na Mnyika, ni sehemu ya Hai, na Jimbo la Kawe linaloongozwa na Halima Mdee, nalo ni eneo la Tengeru?!
Najua wewe gamba, unajidai unaishabikia sana CCM, lakini in reality, ni katika juhudi za kufukuzia buku 7 pale Lumumba!!
Wakuu, nawasalimu kwa mawazo yangu nilivyokiona chadema kwa nje nikajua ni chama chenye umaarufu mijini na pia vijinini kumbe sio kweli. Nimekuwa katika ziara za chama changu ccm katika maeneo ya mikoa mbalimbali na kuja kugundua kwamba chadema hakifahamiki maeneo ya vijijini kama vile mjini mosi katika mikoa hiyo kama iringa vijijini hawajui kuna chadema,kilimanjaro vijiji vya kolyambua,kilasanioni na vijiji vingine hawajui chadema zaidi ya tlp na ccm. Vijiji vingi vya mikoa tuliopita kama korogwe vijijini,songea vijijini,manyara vijijini,singida vijijini huko ni ccm tu inafahamika hakuna chadema. Ombi langu kwa chadema wajipange kwanza kueneza chama chao vijijini kabla ya kuwaza kushika dola kwani ni ngumu sana kama ngamia kupita tundu la sindano. Nawasilisha
jifarijini kwamba CCM wanajidanganya, ndo mnakufa hivyo msipobadilika.

Kijijini chetu, diwani ni kutoka Chadema...Kipo umbali wa Kilometa Mia nne Tisini kuoka Dar..hata umeme serikali ya CCM imetubania... Ingawa yale manguzo makubwa ya gridi yenu ya Taifa, yanapita pembezoni mwa kijiji chetu kizuri.
kwenye bold hapo sikubaliani na wewe mkuu .....mbonyi!!!!