GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Hivi wewe hata darasani ulihudhulia.
Upuuzi jazz band
Think twice. Kama CDM kinaongoza halmashauri, kinakuwa na uwezo wa kutekeleza yale yaliyo kwenye ilani yake kwani halmashauri ina autonomy yake. Kwa mfano Karatu walifuta kodi ya maendeleo kabla ccm haijaifuta kwa TZ. Hapo huwezi kusema CDM karatu ilikuwa inatekeleza ilani ya CCM. Hata sasa CDM Mwanza wanaweza wakasema kutokana na mapato ya jiji, wafute ile 20,000/= ya kila mwanafunzi wa sekondari mwanza - huwezo kusema watakuwa wamatekeleza ilani ya CCM bali ilani yao iinayosema elimu bure nk. Katika ngazi ya Taifa kweli Taifa litatekeleza ilani ya CCM lakini kwa level za chini zenye autonomy yake inaweza kuwa tofauti. Think twice and if twice is not enough, think thrice!
Halafu hilo jina umelikosea sio 'FREDOMFIGHTER' ni 'FREEDOMFIGHTER' rekebisha tafadhali yaonyesha kiingereza kwako ni mgogoro.
Think twice Thread yako haina mashiko! na huja eleweka kimantic lengo lako ni kitugani.....Siku nyingine usithubutu kufanya utani wa namna hii
Ukitaka wewe jiite FREEDOMFIGHTER, mimi ni FREDOMFIGHTER, two different things, halafu we unaona kingereza dili sana , MS una tabu weye.Lakini ndivyo mlivyo walamba viatu wa mafisadi, mitazamo finyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Nina mashaka na uelewa wako!Hivi wewe hata darasani ulihudhulia.
Hakuna autonomy kubwa unayoisema wewe. Halmashauri zote ziko chini ya Ofisi ya Waziri mkuu . Na boss wa Halmashauri ambae ndie mwenye mafungu ni DED yaani Mkurungezi ambae huteuliwa na Rais , sasa hapo autonomy unayo isema wewe ipo wapi ?. Na isitoshe Halmashauri zote zaidi ya 90% zinategemea ruzuku kutoka Serikali kuu, hapo autonomy ipo wapi ? . Hamna autonomy yoyote ni maneno yako ya kisiasa hayo mkuu. Na hata leo hii Serikali kuu yaweza kutoa order ya kuzifuta Halmashauri, sasa autonomy hiyo iko wapi?. Unauona jua mchana unaulizwa nini hicho, unasema huo ni mwezi.

Acha hasira kijana ukirekebishwa, badilisha tu hilo jina ulilikosea usione aibu, ndiyo unajifunza hivyo ukikutana na GREAT THINKERS !
You too a great thinker? You must be joking, you are a GREAT SINKER!!!!
Maamuzi ya mwisho katika halmashauri yanafanywa FULL COUNCIL (Baraza la Madiwani) hivyo wenye madiwani wengi ndio watakua wanafanya maamuzi kulingana na Ilani yao au waonavyo - in relation to the budget granted by the central government and council sources of revenues. Hapo ndio AUTONOMY inapoanzia. I stand to be corrected.
Wakuu, Achaneni na ThinkTwice, yeye ni mtunga mashairi ya Taarabu huyoooo !!!
UMEKOSEA JINA ACHA KUZUGA,INAANDIKWA Freedomfighter sio FREDOMFIGHTER.