Kumbe CCM hawana nguvu.....

Sikonge

Platinum Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,238
Yaani ilibidi kundi zima lipigane na Mtu mmoja? Na hapo hadi Mbunge wao Rage na yeye yumo ila bado wakashindwa.






Ilibidi waanze kuwa Wapalestina ili waweze kushinda. Yaani mtu mmoja tu kawatoa jasho? Chris Lukosi, hamli?

 
Last edited by a moderator:
Kamanda mmoja watu wote hao jasho ! namuona mtu kama Rage au macho yangu
 
hapa ndo ujue hii nchi inaongozwa na viongozi wasiotumia akili kabisa.
 
Picha ya kati shati la zambarau anaokota jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…