ha ha naona unataka kufanya PRA..Pastipatory Research Aprisal..take care kuna mwenzio aliwai kupewa vitu mpaka akamtapikia mwenzie wa kike kwenye paji la uso...
hivi ni huduma gani inapatikana Buguruni...?...naona wazalendo mnachangia bila kutaja huduma yenyewe....hebu tuambieni labda na sisi wengine tutahitaji.....