Kumbe bondia wetu Nasibu Ramadhani kapigwa Norway na hatuambiwi

Do santos

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
635
337
Juni 09, Mwaka huu Bondia Nasibu Ramadhani alipanda ulingoni nchini Norway kupambana na
Bondia Bernard Torres katika ukumbi wa Chateau Neuf ulioko mji wa Oslo.

Katika pambano hilo Bondia wa Norway Bernard Torres mwenye rekodi ya kushida mapambano 18 na kupigwa moja, alimshinda Bondia wa Tanzania Nasibu ramadhani kwa ushindi wa pointi wa majaji wote watatu.

Nasibu Ramadhani mwenye rekodi ya kushinda mapambano 33, kupigwa 18 na sare 2 taarifa hii ya
pambano lake imekuwa kimya bila ya watanzania kufahamishwa.

Pambono hilo lilikuwa la raundi 10 uzito wa featherweight, Mnorway alishinda raundi tisa kati ya kumi kulingana na majaji wawili.
 

Attachments

  • nasibu.JPG
    nasibu.JPG
    26.1 KB · Views: 7

Similar Discussions

Back
Top Bottom