Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Mgombea Uraisi wa Upinzani huko nchini Uganda alikamatwa na vyombo vya Usalama vya nchi hiyo baada ya kutaka kujitangaza yeye mshindi wa Uchaguzi wa Uraisi ambapo ni kinyume na Sheria na taratibu za nchi hiyo kwani kazi ya kutangaza mshindi Kikatiba ni ya Tume, hivyo kama vile Maalim Seif, Besigye alivunja na kukanyaga Katiba ya nchi yake ila tofauti ya Besigye na Maalimu Sief ni kwamba mmoja anaishi nchii iitwayo Uganda mwingine anaishi TanZania!