Kumbe baniani mbaya kiatu chake dawa !!

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
13,997
15,111
Inasemekana nywele hizi baada ya kunyolewa kama sadaka baadae hutumika kutengeneza nywele bandia kwa Wanawake wa Africa.

mimi nikisikiaga kuwa ni "human hair" sitaki hata kuona. gross!

nashukuru umasikini unanifanya nishindwe kuishi na fake hair. nataka nikirudi nyumbani Najisikia ovyo na joto la Dar naosha na kichwa.
Pambo.. yaani hujalitia maanani?
 
pambo ndio lakini sio human hair. nasukaga rasta ZA KATANI.

pia kwangu ni expensive. unasuka nywele za 30k unakaa Nazo siku tano. sijawahi kuvuka week na katani kichwani.
Aisaee... kumbe ina gharimu !! ila kweli usemayo Kusuka ni hali asilia tangu enzi..tena ina hadhi kwenye urembo asili!!
Hongera
 
Aisaee... kumbe ina gharimu !! ila kweli usemayo Kusuka ni hali asilia tangu enzi..tena ina hadhi kwenye urembo asili!!
Hongera
kwa wengine wala si gharama. anasuka zake za 30k anakaa nazo miezi miwili. mwanamke huyu anafaa sana kupanga budget za nyumbani.

sasa wanaotumia human hair na waafrika wanaosukia matope , nani mrembo zaidi?
 
Sijawahi kuziona kwa ukaribu, hivyo siwezi kuamua !!!! hebu niweke picha kama ...
 
In the mean time, lengo ya thread yako ilikuwa nini hasa? Kuelezea Ubaguzi? Kichwa kimekaa kichokozi
MMMH !! NDIYO KWANZA WAAMKA??!! siyo ubaguzi... ni chimbuko na origno za nywele !!
wengi tunazitumia bila kujuwa wafadhali wetu !!! ( yako humfaa mwenzio na yake hukufaa wewe) life goes on ....
Be blessed
 
IMG_20160412_175740.JPG
MMMH !! NDIYO KWANZA WAAMKA??!! siyo ubaguzi... ni chimbuko na origno za nywele !!
wengi tunazitumia bila kujuwa wafadhali wetu !!! ( yako humfaa mwenzio na yake hukufaa wewe) life goes on ....
Be blessed
inabidi turudi kwenye matope yetu, muache kutusemasema na nywele zenu
 
Mtu anatoa nywele zake sadaka kwa mungu wake halafu wewe unakwenda kuzinunua na kufunika nywele halisi ulizopewa na Mungu wako. AIBUU!
Mkuu ikitu ni Mbaya sana kwa dada zetu, Achana na kitu Ambacho kimetolewa Sadaka kwa miungu, ni spritual ishu.

yaani yale matatizo huyo mtu aliyoiendea miungu yake, kwa kutoa nywele zake ni kwamba zile shida zake zote zinawekwa juu ya sadaka yaani hizo nywele zake.

Sasa hizo nywele zinapokuja huku Africa na dada zetu wanapozinunua na kuzivaa wana Vaa matatizo ya yule alitoa hizo nywele kama sadaka.

Ndipo utajua ni kwanini mapepo yanapata nguvu sana kwa dada zetu hasa pale wanapokwenda kuombewa kwenye maombi.

Kumbe mlango mkubwa, umefunguliwa na wao wenyewe kwa kuvaa mawigi yaliyo tolewa sadaka kwa miungu.
 
Nimekuwa nikiwaambia wenzangu wajivunie tulivyoumbwa na Mwenyezi Mungu, kujipamba si vibaya lakini si kwa mapambo bandia,mtu mwafrika pyuuaa kwa Mama na Baba nywele zao kipilipili iweje leo nywele zako ziwe za singha? Mwimbaji mmoja Mwamerika mwenye asili ya kiafrika aliimba mwimbo usemao "say it loud,am black and proud"
Usifikiri mara mbili..rudi ktk matope.. utapata soko la wadhungu ..wao hupenda kuiga ..Waige wafee!!
 
Nimekuwa nikiwaambia wenzangu wajivunie tulivyoumbwa na Mwenyezi Mungu, kujipamba si vibaya lakini si kwa mapambo bandia,mtu mwafrika pyuuaa kwa Mama na Baba nywele zao kipilipili iweje leo nywele zako ziwe za singha? Mwimbaji mmoja Mwamerika mwenye asili ya kiafrika aliimba mwimbo usemao "say it loud,am black and proud"
Hatujali hilo.. kama ipo soko tutaleta makontena ya nywele !!!!
 
Back
Top Bottom