kUMBE ALIKUWEPO,HE IS CALM THOUGH

mlimsikia vibaya hakusema milioni 900 alisema 900 ukijumlisha na ile 800 na 700 wanamdai sh 2,400.Sasa waende wakachukue 25 percent yao
Imebidi nirudie tena kuangalia ile video alisema anaweka 800 jamaa wa pembeni akapanda dau 810 kisha mzee akapanda 900 ingependeza yule jamaa wa pembeni aliyekua anapokea maelekezo kutoka yule muindi anayeongea na simu akamtolea mzee macho
 
Reactions: OKC
Hyu mwehu amefanya uwehu na upumbavu mtukufu
 
Huyu jamaaa ashakua maarufu kama mzee wa githeri Kenya kipindi ya uchaguzi by the way big up sana mzee baba kwa comfidence uliotuonyesha nimepata kitu hapa money is nothing compared to confidence. Mazee kama unayo comfidence ya kutosha unaeza buy everything si mnaona Mia tisa itafaa zaidi ilivyonoga
 
Jamani endeleeni kuleta hizo picha zilizofanyiwa Photoshop...watu tuendelee kucheka tujipunguzie sumu mwilini
 
Tajiri la Mujini alienda States kumwona Obama sababu obama alikua amemwalika white house kwa ajili kupigs dili flani . !He! Ile ameingia tuu Whitehouse akakutana na Marais Kibao kina Shinzo Abe, (japan)kina sakozi (France) na wengineo .Obama akamwomba atoke nje kidogo ili wakuu Hawa wamalize mazungumzo Yao then atamwita. Kwa hiyo unavyomwona hapo anasubiria wakuu wamalize mao gezi yao, then no ajitome ndani, akamalizie dili lake na mukubwa wa wanyamwez.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…