Kumbe!, Aisee!, Jamani! kwa lugha ya kingereza

Kumbe!, Aisee!, Jamani! kwa lugha ya kingereza

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
21,943
Reaction score
49,942
wataalamu wa lugha naomba tafsiri ya hayo maneno kwa lugha ya kingereza.

mengine ni kama
1• huisha (anaweza kui huisha nafsi yako)
2• kimbembe
3• sakata (sakata la pesa za ujenzi...)
3•sokomoko(amezua sokomoko)


NB nilivyo jaribu kumuuliza google translate kuhusu neno kimbembe alipa majibu yafuatayo hapa chini
 
IMG_20180911_221550_343.JPG
 
Back
Top Bottom