tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Kiongozi mkuu wa boko haram abuu shekau ametoa mkanda wa video wenye matamshi makali ya kumuonya jacob zuma kuwataka wananchi wake kusimamisha au kuacha kuwashambulia raia wa kigeni waliopo katika nchi hiyo , vinginevyo atazishambulia balozi za south africa katika nchi za nigeria, chad, niger, cameroon, , sambamba na kuwauwa raia wa nchi iyo popote walipo sambamba na kuwateka nyara
Turushie hiyo video mkuu!!!
Kweli mkuu asijekutushika masikio...
Safi sana kiongozi mkuu wa Boko Haram
Jamani video ipo kwenye You tube nimejaribu kuitoa imeshindikana wote mnaotaka kuona video hii ya lugha ya kiarabu ingieni uko
Kiongozi mkuu wa boko haram abuu shekau ametoa mkanda wa video wenye matamshi makali ya kumuonya jacob zuma kuwataka wananchi wake kusimamisha au kuacha kuwashambulia raia wa kigeni waliopo katika nchi hiyo , vinginevyo atazishambulia balozi za south africa katika nchi za nigeria, chad, niger, cameroon, , sambamba na kuwauwa raia wa nchi iyo popote walipo sambamba na kuwateka nyara
Sisi waafrica tunauwana tunarudishana nyuma kimaendeleo! mungu bora aendelee kuwazidishia maendeleo wazungu tu hamna jinsi!
Kiongozi mkuu wa boko haram abuu shekau ametoa mkanda wa video wenye matamshi makali ya kumuonya jacob zuma kuwataka wananchi wake kusimamisha au kuacha kuwashambulia raia wa kigeni waliopo katika nchi hiyo , vinginevyo atazishambulia balozi za south africa katika nchi za nigeria, chad, niger, cameroon, , sambamba na kuwauwa raia wa nchi iyo popote walipo sambamba na kuwateka nyara
Salute the icon of Africa. Absolutely the comment has hit the target.