Kumalizia malipo ya Viwanja ....


Kifaranga

Kifaranga

Senior Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
137
Likes
11
Points
35
Kifaranga

Kifaranga

Senior Member
Joined Jan 6, 2011
137 11 35
Kama vile sijaelewa vizuri hili Tangazo lililotoka kwenye mwananchi ya Leo J'pili (2-10-2011) kwamba kwa wale wananchi waliogawiwa viwanja mbalimbali katika maeneo tofauti ya manispaa za Temeke, Ilala na Kinondoni kwamba wamalizie malipo wakati mimi bado still nasubiria majibu ya viwanja vya Kinyerezi (eneo mojawapo lililotajwa kumalizia malipo) nilivyoapply ile June ........ Duuuuuuhhhhhhh nimechoka kwa kweli .... Wamegawiwa lini tena mbona sina khabari .....
 

Forum statistics

Threads 1,236,081
Members 474,965
Posts 29,245,993