Yaani nimecheka sana kwamba Ndg Nyalandu alikuwa kagoma kupiga push-up,so alilazimishwa?Hii imenikumbusha enzi hizo shuleni mtu umelikologa,unaambiwa na mwalimu'haya down'unakula mboko za kutosha huku ukiambiwa ukiinuka tu zinafutika zote,zinaanza upya.Tulikuwa na nidhamu mno wala huendi kusema nyumbani maana utaongezewa zaidi,leo hii ni aibu mzazi anakwenda kuanzisha ugomvi shuleni kisa mtoto kachapwa fimbo,matokeo yake mtoto anamaliza shule hata kuandika barua hawezi.