pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 238
- 271
Nina shida kwa mwenye kujua gharama ama process za kufuata ili uweze kumtrack mtu kupitia nambari yake ya simu kwa kupitia TCRA mlolongo uko vipi?
Mwenye kufahamu anijulishe. Ninayemtafuta ni mwizi ameniibia simu yangu na Nina mfahamu nikimpigia namba yake anapatikana na hapokei simu .
MSAADA PLEASE!!
Mwenye kufahamu anijulishe. Ninayemtafuta ni mwizi ameniibia simu yangu na Nina mfahamu nikimpigia namba yake anapatikana na hapokei simu .
MSAADA PLEASE!!