Hiki kikombe naomba kinipitie mbal kabisa mkuuUlishawahi kula tunda kimasihara?
Hakikisha unakuja toa report kwa mabaharia na chama chao hukuUlishawahi kula tunda kimasihara?
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...www.jamiiforums.com
Hvo vimini vilivopigwa hum ndan,aibu naona mim na tulivo banana,hyo mipaja sasa,daahMke wa mtu sumu lakini akijilengesha kula bila huruma. Msemo wa ukila wa mtu na wako atliwa sio tija tena mana hata usipokula mke wa mtu wako ataliwa tu vile vile. Piga tuu jombaa
Mkuu skuhiz tunafunga cctv na spy bugs kila kona mkuu mshanaSijaoa ila nikioa mke wangu namfungulia biashara hapo hapo nyumban ama hafany kaz kabisaaaa.[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]afadhali hao wanaoliwa maofisini wako anaweza kuliwa ndani ya nyumba yako na pengine kitanda unacholalia... Wahuni sio watu
Acha ujinga, mtu mzima hachungwi. Kikubwa ajitambue. Hata uweke walinzi 6 hao hao walinzi wanaweza kumla.Mkuu skuhiz tunafunga cctv na spy bugs kila kona mkuu mshana
Af kwa jins hawa wadada walivyo wild na stor zao,uskute nyumban niwakimya kwelkwel na wastaarab
Cha kukushauri ni kuwa oa mke mwenye hofu ya Mungu + atambue nini maana ya ndoa. Mengine wala hutopata tabu, kabla ya kukusaliti kwanza atawaza uhusiano wake pamoja na Mungu na nini atapata akikusaliti. Kama kuna mapungufu dawa si kucheat ni kulisolve.Sawa ila kiufupi atapata tabu sana,labda nimchoke tuu
Wanawake hao wanapatikana wap,ujue mfano mim ratiba yangu na places zangu kupata mwanamke wa hvo ni ngum,labda nifanyiwe connection...wanawake wanaonizunguka mim ni wehu wengiCha kukushauri ni kuwa oa mke mwenye hofu ya Mungu + atambue nini maana ya ndoa. Mengine wala hutopata tabu, kabla ya kukusaliti kwanza atawaza uhusiano wake pamoja na Mungu.