Mbuzi wewe..๐๐๐Habarini wakuu, ninaswali kidogo juu ya hii biashara ya kulipwa kwa kuangalia video youtube.
Juzi nilitafutwa na namba whatsApp yenye country code ya marekani na akaniambia kuuhusu kuingiza ela kwa kuview videos youtube, akanitumia link nika view then wakaniuliza namba ya aacount nikatuma wakanitumia 10000 so akanitumia link ikanidirect telegram hulo nikapata maelekezo nikajiunga kwa group ambalo wanatuma task kila baada ya dakika 20 unaview video then unatuma screenshot video moja kamisheni yake ni 1000 ikifika 10000 wankutumia jana nikakamilisha 10000 wakanitumia tena sasa kuanzia jana jioni wakawanaleta na task nyingine ambazo zinahitaji uwatumie ela 100000 then wanakurudishia 130000 baada ya 20 minutes nikaskip hyo task kila ukiskip kamisheni inapungua sasa ikapungua mpka 200 so wakaniambia inabidi nimalizie hizo task ndo niendelee na za kuview videos.
Naomba ushuri juu ya hili, je ni kweli mtu anaeza kuinhiza ela kwa kuangalia video online. Asanteni
๐๐Wanamsogeza kiblaMbuzi wewe..๐๐๐
Tayari umeelekezwa kibla
Ajabu sana pesa ina sauti kubwa na yenye mamamlaka kuliko๐ safari ya uchumi huwa inamengi mi sitakufundisha ngoja uchumi wenyewe utakufundisha pale utakapokutana na wachumi wanaochumu kama hao!.
Uchumi unataka umchumu jamaa,Bado Hana elimu ya kutosha watu wanavyotengeneza pesa online๐ safari ya uchumi huwa inamengi mi sitakufundisha ngoja uchumi wenyewe utakufundisha pale utakapokutana na wachumi wanaochumu kama hao!.
Kichwa kimeshaingia sasa ni ku pump kidogo tu usikie aaiiii๐๐๐๐๐Wanamsogeza kibla
Soko linataka soko sio kwamba soko linataka mnunuzi..! Litamkuta jambo asipokuwa makini..Uchumi unataka umchumu jamaa,Bado Hana elimu ya kutosha watu wanavyotengeneza pesa online
Na watamchinja na kisu butuMbuzi wewe..๐๐๐
Tayari umeelekezwa kibla
Nina uhakika hata ushauri unaotolewa hapa ataupuuziaNa watamchinja na kisu butu
Nina uhakika hata ushauri unaotolewa hapa ataupuuzia