Kulipa traffic notification

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,956
Reaction score
104,308
Jamani ukichelewa kuliopa traffic notification unafanyaje? Unaweza lipa hata baada ya siku saba
 
Ya ila unalipa pamoja na penalty inakuwa siyo ile uliyoandikiwa ila sijui ni interest ngapi ya hiyo penalty
 
Hiyo kadri unavyochelewa penalty inazidi ila hata uchelewe vipi haizidi 60000 na usipolipa mtakutana kwenye kurenew leseni
 
asante sana. nataka nilipe tatizo penalty sijui ni kiasi gani!
 
Ukikutana na askari barabarani yeyote mwenye zile mashine za kutolea notification, mueleze kuwa unataka kulipia na ukimpatia nambari za usajili wa gari lako atakutolea taarifa unazohitaji kwa ajili ya kufanya malipo hayo. Easy!
 
Great thank you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…