Kulingana na Uislamu, nchi ya Waisraeli/Wayahudi ni ipi?

Hawajui na Wala hawataki kujua Bali utasikia eti waliwakuta wapelestina kwenye ardhi yao
 
Wakuu. Kulingana na Uislamu, yaani Quran na Hadithi-nchi/eneo la Waisraeli/Wayahudi ni ipi?
KAbla ya kuwepo Israel wayahudi wote walishare nchi na waisilamu, kulikua na Wayahudi wa Iraq, Iran, Palestine, Syria, Morocco etc.

Wakati wayahudi wanauliwa Ulaya na kwengineko waisilamu waliwachukua na kuwahifadhi kwenye Nchi zao.

So waisilamu hawana tabu kwa myahudi kuishi popote pale Duniani.
 
Wakuu. Kulingana na Uislamu, yaani Quran na Hadithi-nchi/eneo la Waisraeli/Wayahudi ni ipi?
Bani Israel yani the children of Israel. Kwa kurahisisha tu, ni kubwa sana kuliko mpaka wa leo, chukua kipande cha Uturuki shuka mpaka robo ya Saudi, Robo ya Misri mpaka Iraq. Yani Syria, Sijui , Lebanon, Jordan kote huko mpaka leo ukisoma historia miji ipo kwenye biblia.
 
Wwisla
Uislam ni ideology mpya sana kwa lile eneo na ndio chanzo cha ubaya wote. Kabla ya uislam watu walikuwa wanaishi vizuri kwa ushirikiano, alivotokea tu yule kibwengo tapeli muongo muongo sasa.
 
Wwisla

Uislam ni ideology mpya sana kwa lile eneo na ndio chanzo cha ubaya wote. Kabla ya uislam watu walikuwa wanaishi vizuri kwa ushirikiano, alivotokea tu yule kibwengo tapeli muongo muongo sasa.
Kabla ya uisilamu Roma alikua Anaua wakristo na dini zote hapo mashariki ya Kati.

Usilamu ulisambaa kwa Kasi sababu wakristo waliita Jeshi la waisilamu kuja kuwakomboa na kuwapa Uhuru wa kufanya Ibada na sio kulazimishwa kuwa wakatoliki.

Kote huko Syria Hadi Egpty kuna barua na Evidence kwa makanisa makongwe kusaidiwa.

Mfano mzuri hii ni website ya kanisa la Coptic hapo Egpty likiandika Historia ya pope Benjamin wa Egpty wakati wa conquest ya Uisilamu

Pope Benjamin lived through three different eras: The Persian occupation (623 - 628)

Under the yoke of the Byzantine empire -- a continuation of the Roman empire in the east Mediterranean -- the Copts were treated very badly. The Byzantines imposed on them an alien patriarch who was sent to Egypt from Constantinople. But in 623 A.D. the Persians captured Egypt as a result of the immense chaos all over the country. The Copts were prevented from practicing their religion, and their human and national rights were denied. Nevertheless, some Copts felt relief because alien Patriarchs were no longer appointed by Byzantium to oppress the Egyptian church. However, we find that during that era the Persians ruined and destroyed many churches and monasteries.

The return of the Byzantine rule (628 - 640)

This was a bitter period in which Emperor Heraclius' only concern was to oppose and shatter the church. He gave orders to transfer Bishop Visas of Asia Minor to Alexandria with power to exercise both ecclesiastical and civil authority. During that period, Pope Benjamin was forced to flee to Scetis. He was particularly saddened by the devastation that took place during the occupation of the Persians. From there, he fled to Upper Egypt where he disappeared in one of the monasteries near Thebes.

When Cyrus the alien patriarch came to Alexandria, and did not find Pope Benjamin, he arrested his brother Minas. The soldiers tortured him by burning his sides to force him to reveal his brother's hiding place. He endured all that pain in silence. Then Cyrus commanded his men to place him in a bag full of sand and throw him in the sea. Minas became the first martyr at the hands of that alien patriarch.

The Arab conquest in 640:

In that tense atmosphere the Arabs were advancing. They conquered Persia, then headed towards syria and Palestine, while Heraclius was motionless in Constantinople.

The Arabs marched under Amr Ibn Elaas, reached Egypt at Al Farama on the Red Sea. After a month of fighting they conquered the city and headed west. They occupied Belbais then headed to Babylon, what is now Old Cairo. They surrounded it for seven months, then Al-Muqauqus - a name synonym of the Byzantine governor -negotiated with them to surrender the land. After that they marched on Alexandria, where they fought for months before they could conquer the city.

The historian Alfred J. Butler thinks that there was not a single Copt in the battlefields, and that it is wrong to assume that the Copts were at that time capable of assembling their strength. Indeed they were suffering from the Byzantine rule, but never considered liberating themselves by negotiating with the Arabs.

The Return of Pope Benjamin:

Amr Ibn Elaas settled in the "Fustat" and when everything stabilized, dialogue started between him and the Copts about the return of the Pope and his bishops to their seats. Sanathius, who was a religious person, spoke to Amr Ibn Elaas about the matter. He asked him to send a message to the Pope to return to his see in peace. It was Sanathius who carried the message and delivered it to the Pope in Upper Egypt.

Amr cancelled the heavy Byzantine taxes and did not ask the Egyptians to pay more than the tribute. He opted to collect reasonably moderate sums of money and differed on this matter with Omar Ibn Al-Khattab (his commander the caliph). He also gave the Egyptians freedom to worship and freely exercise their legal and administrative matters. He appointed some Copts as directors in various districts, yet he exempted them from the military service. In an amicable atmosphere, the Pope met with Amr who showed him esteem and veneration.

The Caliph Omar Ibn Al-Khattab was not happy with Amr because he was expecting him to provide larger amounts of money than he actually did. In one of his fits of anger at Amr, he appointed Abdallah Ibn Said governor of Upper Egypt and limited Amr's authority to Lower Egypt. Amr didn't accept that and resigned from his position as governor of Egypt.

Before his departure, Byzantium sent her navy to attack Egypt. A fierce battle occurred and both sides suffered immense losses in lives. Amr was victorious and he vowed to destroy the walls of Alexandria and burn the city.

With regards to burning the library of Alexandria, the historians found that Amr used its contents as fuel in public baths at the orders of Caliph Omar Ibn Al-Khattab who said that if the contents of the library agreed with the Quran, they were unnecessary but if they disagreed, let them be burned. Today, this opinion provokes discontentedness among the Islamic circles which think that it never happened.

May the Lord guard and protect His Coptic Church and our people in Egypt, and surround them with His holy angels through the intercession of St. Mary and Pope Benjamin. Amen.

Source website ya Kanisa

Same things kwa Nchi nyengine za Kiarabu.

So hao waisilamu wame preserve madhehebu ya kikristo ya zamani kushinda hata Roman Catholic ambayo Waroma walikua wanayataka kuyamaliza ili watu wote wafuate Uroma.
 
Wakristo wote zamani walikuwa wanaitwa catholic sio Roman. Kwanza uelewe. Neno Roman limeletwa baadae sana na waanglikana kujitofautisha. Ila ni hivi, hakuna kanisa la Roma.
 
Wakristo wote zamani walikuwa wanaitwa catholic sio Roman. Kwanza uelewe. Neno Roman limeletwa baadae sana na waanglikana kujitofautisha. Ila ni hivi, hakuna kanisa la Roma.
Does it matter? Point kwenye comment yangu wakristo wa Roma walikua wakiua wakristo wenzao ambao hawafuati mifumo Yao, kutokana na uonevu huu wakristo wa Middle East wakalikaribisha Jeshi la waisilamu liwakomboe, mpaka Leo hii hayo makanisa ya Zamani yapo kuonesha promise ya waisilamu

Kuna makanisa Palestine walinzi ni waisilamu, sio kwamba wanalinda sababu hawana hela, la hasha Bali wamekabidhiwa hio KAZI zaidi ya miaka 1000 iliopita, walinde na Hadi Leo wanalinda, only middle East utapata hio brotherhood.
 
Wewe ni mpumbavu na usiejua lolote. Waliokuwa wanaua wenzao ni wapagani wa kirumi sio wakristo. Ndio maana hilo jina kanisa la roma linawachanganya mnaliingiza kanisa kwenye conspiracies. Petro, mkatoliki walimuua, Yohana nk. Sio na wakristo. Kanisa la mwanzo wengi tu waliuwawa sababu ya imani na wapagani mpaka baadae na waislam wakaja
 
Unabishana na kanisa la Egpty kwamba wao hawajui na wewe unajua? Link na habari niliyokuekea inasema kabisa Hercules alimtuma Cyrus wa Alexandria kama Patriarch wa Kanisa, wakati huo Byzantine aka Roma ya Mashariki walikua ni wakristo na waliforce makanisa mengine kufuata mafundisho yao.

Hata wakati biblia inabadilishwa na Waroma kanisa la Egpty ni moja ya sehemu ambayo walihifadhi kwa Siri vitabu vingine vya biblia so kwao ilikua ni sehemu ambayo inawavurugia mipango mingi.
 
Wakuu. Kulingana na Uislamu, yaani Quran na Hadithi-nchi/eneo la Waisraeli/Wayahudi ni ipi?
Wadau tuacheni haya mambo ya dini. Imenifanya juzi jumatatu nimepigwa vibaya sana na vijana wa mudi ambao tumekuwa marafiki mda mrefu sana, tunavuta nao. Sasa hivi urafiki umekwisha. Wameniumiza vibaya sana.

Hii ishu ya kupingana kuhusu dini siyo nzuri asee. Ningekufa. Tutumieni busara wote tumeumbwa na Mungu.
 
Tukiwa na mijadala bila matusi na dhihaka tunaweza kufaidika.
 
Kati ya uislamu na uyahudi upi ulianza?
 
Hii ilikua lini?mana kumbuka uroma ndio ulioneza ukristo duniani.

Hivi crusade war ilikua na lengo gani hasa? Mna naona unapotosa historia kwa makusudi kabisa.
 

Pole, Hao jamaa muda wote wanawaza kukiwasha tu. Wamefundishwa vita na sio upendo na ustaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…