green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 11,358
- 35,960
Una uhakika gani? Putin kahusika au fikra hizo zimekuja kutokana na msongo wa mawazo unaopitia baada kupigwa na maisha sasa umebaki na smartphone kwa ajili ya kuangalia ngonoMzuka wanajamvi!
Mwanadada mrembo Kristina Raspopova alikuwa muhudumu kwenye ndege iliyopata ajali na kumuua boss wa Wagner Yevgeny Prigozhin aliwasiliana na familia yake kabla ya safari kwa kushangaa kwanini safari iliahirishwa eti ndege inafanyiwa matengenezo. Kumbe wanachomeka mabomu.
Sasa kama Putin alitaka kuwaua Boss wa Wagner Prigozhin na wenzake kwanini sasa akawatoa kafara marubani wawili na huyu flight attendant mrembo ambao hawana hatia?
Ni roho mbaya tu hili liputin limemwaga damu Ukraine. Angewaua tu wahuni wenzake kina Prigozhin huko.
Lenyewe limebaki kujificha kwenye mahandaki likila na kulala. Lioga kama nini limeogopa hata kwenda kwenye mkutano wa Brics.
Putin na genge lake wanadhani wataishi milele?