Kulikuwa na faida gani ya kubadili jina la shirika letu la habari kutoka TVT (Televisheni ya Taifa) na kuitwa TBC (Tanzania Broadcasting Corporation)?

Hoja dhaifu TVT+RTD=TBC
Mbona kampuni ni moja ya Microsoft lakini bidhaa ni tofauti tofauti kama vile Windows, Office, Internet Explorer, Visual Studio, Xbox.

Kwanini TBC isingebaki kama TBC lakini ndani yake kuwe na TVT pamoja na Radio Tanzania?
 
TVT na kuwa shirika la habari Tanzania. TVT ni television pekee, tbc ni television na radio. Haiwezi kubaki Tvt wakati inajumuisha na redio Tanzania.
Mbona kampuni ni moja ya Microsoft lakini bidhaa ni tofauti tofauti kama vile Windows, Office, Internet Explorer, Visual Studio, Xbox.

Kwanini TBC isingebaki kama TBC lakini ndani yake kuwe na TVT pamoja na Radio Tanzania (RATA)?
 
Mbona kampuni ni moja ya Microsoft lakini bidhaa ni tofauti tofauti kama vile Windows, Office, Internet Explorer, Visual Studio, Xbox.

Kwanini TBC isingebaki kama TBC lakini ndani yake kuwe na TVT pamoja na Radio Tanzania (RATA)?
TBC kwani imebadilika kuwa nini? Iliobadilika ni TVT na redio Tanzania kuwa shirika moja (TBC). Ambapo ndani yake kuna TV na Radio.
 
Mbona kampuni ni moja ya Microsoft lakini bidhaa ni tofauti tofauti kama vile Windows, Office, Internet Explorer, Visual Studio, Xbox.

Kwanini TBC isingebaki kama TBC lakini ndani yake kuwe na TVT pamoja na Radio Tanzania (RATA)?
ndani ya TBC kuna TBC (TV) na TBC FM .

Ni sawa na Facebook. Ndani ya Facebook Inc kuna Facebook, Instagram na Whatsapp.
 
TBC kwani imebadilika kuwa nini? Iliobadilika ni TVT na redio Tanzania kuwa shirika moja (TBC). Ambapo ndani yake kuna TV na Radio.
Mbona sioni tena logo ya TVT wala Radio Tanzania bali ninaona TBC na TBC Taifa?
 
Aisee....

Nakuona mara kwa mara hapa..

Si kwamba Sikusomi. Ila kwa uzi huu..
Nimeupenda.
There Was No Need At All.
 
Hoja yako nimejibu, kuna mwingine kakupa makavu hoja ya kitoto. Wengine tumekujibu kistaarabu unaendeleza utoto.
Kwanini ndani ya TBC kusingebaki TVT na Radio Tanzania (RT)? Kwanini walibadili majina? Kulikuwa na ulazima gani wa kubadili majina?
 
Kwanini ndani ya TBC kusingebaki TVT na Radio Tanzania? Kwanini walibadili majina?

Hili swali hata ukiwauliza IPP watakupa jibu moja tu (Mabadiliko).

Hata IPP walikuwa na ITV na ITV2. Wakabadilisha ITV2 kuwa EATV. Its all about branding. Kumbuka TBC sasa inatazamwa dunia nzima sio Tanzania pekee. Na Radio tanzania Dar es salaam sasa inasikika dunia nzima sio Dar es salaam pekee wala Tanzania pekee.

Brand name TBC inatosha, japo contents zao ni za chama kimoja.

Cc Pascal Mayalla
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Kwanza ninaomba kuanza kwa kutoa shukrani zangu za dhati kwa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya habari, vijana utamaduni na michezo pamoja na shirika la Taifa la Utangazaji (TBC) kwa kuamua kuwa Wazalendo kwa vitendo zaidi na kuamua kuboresha muonekano wa TBC.

Sasa hivi huwa nikiwa ninatazama TBC ARIDHIO ile saa moja jioni ni kama vile ninatazama CNN, BBC au Al Jazeera kwa maana camera na majukwaa ni ya kisasa, watangazaji wa kiume ni watanashati sana, hao akina dada ndio usiseme yaaani ni warembo saaaaana hususan yule dada wa kipare wanamuita Elizabeth Mramba.

I congratulate you guys once again. Huyo Elizabeth Mramba kama hajaolewa mpaka sasa ninaomba mwenye number zake anipe mara moja wakuu kwa maana sio kwa weupe ule. Hahahahahaaaa, I am joking.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kulikuwa na umuhimu gani wa kubadili jina la shirika letu la habari kutoka TVT (Televisheni ya Taifa) na kuitwa TBC (Tanzania Broadcasting Corporation)?

View attachment 1589921

Kama suala ni structual change (shake up) kwani isingeweza kufanyika bado ikibeba jina hilo hilo pamoja na logo ya TVT?

Kulikuwa na umuhimu gani wa kubadili jina la shirika letu pendwa, muhimu na la kizalendo katika kutangaza misimamo ya taifa hili imara barani Afrika lililojaa mashujaa na wachapakazi?

Ninajua kuna watu watakuja na hoja kwamba TBC ilizaliwa baada ya kuunganisha RTD (Radio Tanzania Dar Es Salaam) na TVT.

Lakini mbona kampuni ni moja ya Microsoft lakini bidhaa ni tofauti tofauti kama vile Windows, Office, Internet Explorer, Visual Studio na Xbox.

Kwanini TBC isingebaki kama TBC lakini ndani yake kuwe na TVT pamoja na Radio Tanzania? Kwanini walibadili majina? Kulikuwa na ulazima gani kufanya hivyo?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Nilivyoona maandishi makubwa hapo chini nikajua huyu ni soldier

Ila usemacho ni kweli mkuu
Bora wangetuachia logo yetu ile ile
 
Kumbuka TBC sasa inatazamwa dunia nzima sio Tanzania pekee. Na Radio tanzania Dar es salaam sasa inasikika dunia nzima sio Dar es salaam pekee wala Tanzania pekee.
Mbona Serengeti, Manyara na Kilimanjaro ni vivutio vya kimataifa lakini bado vinabeba majina yale yale ya zamani na wazungu hawajavi-ignore?
 
Back
Top Bottom