Kulikoni?

Ukivaa hivyo kama avatar yako ulivyo wala hawatakudhuru
 
Messi ndio anaweza penya katikati ya ukuta wa namna hii
 
Kama una makosa ni lazima.

Huenda wewe nawe ni mmoja wao. Hapa kwetu tunajua tukiisha kuwaona hivyo ni kujiandalia msimbazi yako hapo uambatanishe na leseni yako. Unazitoa vyote viwili kama umejisahau vile. Utashangaa anavyojifanya na yeye kuisoma hiyo noti na huku akikurudishia leseni yako kwa tabasamu kuubwa. Safari yako inakuwa ya amaani kuliko kwenda pale kwenye kiti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…