Unaijua PGO?Mbwembwe tu hizo[emoji1787][emoji1787]
To himMuch respect to him
Hivyo Vita nyenzo tunaweka kichwani.Dingii huyo anaenda vitani
Unataka aende vitani na kisu tu mzee
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kwa wenye akili timamu ukweli upo wazi na ukweli huwa haupindishwi, utabaki kuwa ukweli tu.picha hii imenikumbusha Mbunge wa Ukonga alipo itwa mbele ya kaamati ya Bunge, alienda na maktaba yote lkn mwishowe aliangushwa na documenti moja tena robo karatasi nayo ni "salary slip"!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]