Kulikoni voda Saba Saba?

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Voda hawapo ndani ya uwanja wa saba saba,wameweka vibanda nnje ya uwanja.
Nimejaribu kuulizia nimesikia wamezuiliwa na mkurugenzi wa uwanja na amesema
hata waruhusu tena,kama yeye yupo madarakani.Ila sababu hazijulikani.
 
dah! Hata mi nimewatafuta sana mle ndani leo sikuwaona. Nikauliza nikaambiwa wameweka banda nje nikaona naongopewa.
 
Voda hawapo ndani ya uwanja wa saba saba,wameweka vibanda nnje ya uwanja.
Nimejaribu kuulizia nimesikia wamezuiliwa na mkurugenzi wa uwanja na amesema
hata waruhusu tena,kama yeye yupo madarakani.Ila sababu hazijulikani.

Makampuni ya simu ya Tigo, Zantel na Voda walifungiwa kwa siku mbili, kwa sababu yaliweka vikundi vya muziki nje ya mabanda yao na kupiga muziki kwa sauti kubwa iliyo ondoa usikivu kwa washiriki wengine, walipewa onyo kuondoa vikundi hivyo, na kufungiwa, Voda hawakuridhika, walifunga banda lao na kuondoka.
 
mwaka jana voda walikuwa wanapakana na tccl.hivyo voda walitafuta madada wengi..!!wakawa wanauza line,na kukaribisha wateja hadi mbele ya uwanja wa tccl,mwisho wa siku wakaanza kurushiana matusi.nadhani hiyo ndo sababu coz nlisikia wanasema eti voda ndiyo wenye makosa.mia
 
Makampuni ya simu ya Tigo, Zantel na Voda walifungiwa kwa siku mbili, kwa sababu yaliweka vikundi vya muziki nje ya mabanda yao na kupiga muziki kwa sauti kubwa iliyo ondoa usikivu kwa washiriki wengine, walipewa onyo kuondoa vikundi hivyo, na kufungiwa, Voda hawakuridhika, walifunga banda lao na kuondoka.
Kumbe wana kiburi
mwaka jana voda walikuwa wanapalana na tccl.hivyo voda walitafuta .madada wengi..!!wakawa wanauza line,na kukaribisha wateja hadi mbele ya uwanja wa tccl,mwisho wa siku wakaanza kurushiana matusi.nadhani hiyo ndo sababu coz nlisikia wanasema eti voda ndiyo wenye makosa.mia
hehehe wana jeuri hawa....
 
Kampuni nyingi zilizijikita katika biashara za Retail saba saba ni deal. hata Voda walikuwapo ila nasikia walifanya promotions kwenye mabanda wakafungiwa. Hairuhusiwi
 
Back
Top Bottom