MUTUYAMUNGU JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,824 Reaction score 4,385 Aug 16, 2022 #21 Atoke Ubelgiji kuja Tanzania kuwatetea mijitu isiyojitambua wala kutambua haki zao kama wewe? Never! Kila MTU apambane na hali yake
Atoke Ubelgiji kuja Tanzania kuwatetea mijitu isiyojitambua wala kutambua haki zao kama wewe? Never! Kila MTU apambane na hali yake
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,174 Reaction score 28,601 Aug 16, 2022 #22 Madukwa Peter said: Kanuni ya msingi USIONGEE WAKATI WA KULA, UTAPALIWA. After all, Rais Samia anachapa kazi kwelikweli kiasi hata hoja za kuzizungumzia zimepungua au kwisha kabisa. Click to expand... Acha mambo Yako,huja zitaisha punde akiezesha kupatikana katiba mpya Ile ya uratibu wa jaji warioba na tume huru ya uchaguzi na kuachana na Ile tume ya uchaguziš¤
Madukwa Peter said: Kanuni ya msingi USIONGEE WAKATI WA KULA, UTAPALIWA. After all, Rais Samia anachapa kazi kwelikweli kiasi hata hoja za kuzizungumzia zimepungua au kwisha kabisa. Click to expand... Acha mambo Yako,huja zitaisha punde akiezesha kupatikana katiba mpya Ile ya uratibu wa jaji warioba na tume huru ya uchaguzi na kuachana na Ile tume ya uchaguziš¤