george tiru
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 200
- 147
Tunaomba kujua kuna tatizo gani TPA tangu jana watu wanashindwa kutoa magari yao na mizigo maana yake nini? hivi Rais anafanya juhudi za kuita nchi jirani kutumia bandari hii yetu lakini kwa utaratibu huu hatuwezi fika kokote, na sijui kama ana taarifa hii kua tpa hakuna kazi, mapato ya jana na leo yanapotea tu, na watu wapo tu, najua salam zitamfikia huko Mtwara.