PreGE2025 Kulikoni polisi kuingia Kisutu na mask za majambazi? Je, hiyo ni sehemu ya sare yao? Kama sio kwanini wazivae?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Wakuu,

Moja ya matukio yaliyonishangaza jana kwenye kesi ya Lissu pale Kisutu ni baadhi ya polisi kuvaa mask kama za majambazi ambao hawataki kujulikana sura zao!

IMG-20250519-WA0001.jpg

Nilijiuliza mengi sikupata majibu! Kwanini wavae vile wakati zinahusishwa na matendo ya kiuhalifu? Kwanini wajizibe sura kwanza? Ni sehemu ya sare yao? Kama ndivyo ina maanisha nini? Kama si sehemu ya sare kwanini wazivae?

Screenshot_20250519_233636_WhatsAppBusiness.jpg

Matukio mengi ya asiyojulikana yamekuwa mengi wakatk huu na moja ya kitu wanafanya ni kujiziba sura (kutokana na maelezo ya manusura) ili wasitambulike. Sasa hawa kuvaa hivi, kuna ka uhusiano na wale wanaohusika kwenye utekaji, maana tunaambiwa huwa wanajitambulisha kama polisi na wana silaha za polisi, je mavazi hayo yanatoka huko?

Screenshot_20250519_233906_Instagram.jpg

Yaani maswali mengi, kama hiyo ni sehemu ya sare zao lengo ni nini hasa? Au Lissu alikuwa anatoa harufu mbaya ikabidi wajifunike gubi gubi wasitapike? 😂🤣

Utani pembeni, hili limenishangaza na kunifikirisha, mwenye majibu njoo utuondoe vumbi.
 
Wakuu,

Moja ya matukio yaliyonishangaza jana kwenye kesi ya Lissu pale Kisutu ni baadhi ya polisi kuvaa mask kama za majambazi ambao hawataki kujulikana sura zao!

Nilijiuliza mengi sikupata majibu! Kwanini wavae vile wakati zinahusishwa na matendo ya kiuhalifu? Kwanini wajizibe sura kwanza? Ni sehemu ya sare yao? Kama ndivyo ina maanisha nini? Kama si sehemu ya sare kwanini wazivae?

Matukio mengi ya asiyojulikana yamekuwa mengi wakatk huu na moja ya kitu wanafanya ni kujiziba sura (kutokana na maelezo ya manusura) ili wasitambulike. Sasa hawa kuvaa hivi, kuna ka uhusiano na wale wanaohusika kwenye utekaji, maana tunaambiwa huwa wanajitambulisha kama polisi na wana silaha za polisi, je mavazi hayo yanatoka huko?

Yaani maswali mengi, kama hiyo ni sehemu ya sare zao lengo ni nini hasa? Au Lissu alikuwa anatoa harufu mbaya ikabidi wajifunike gubi gubi wasitapike? 😂🤣

Utani pembeni, hili limenishangaza na kunifikirisha, mwenye majibu njoo utuondoe vumbi.
Utadhani Al Shabab
 
Maswali kama haya huwezi kuona Tlaatlaa, kina Mwashambwa etc wakiyajibu
 
Modern policing inatakiwa kila askari awe na badge, Yenye badge no. + Jina. Ili Raia waweze kumtambua kwa Majina yake.

Ila hawa jamaa hata SURA tu wanaificha 😃
 
Ni watu fulani fulani wa ngazi za juu serikalini,waliovaa magwanda ya polisi ili kuficha nyuso zao ili wasitambulike, maana yake ni kuwa walikuja kusikiliza kesi ya LISSU na ili isionekane serikali kuu inaingilia utendaji kazi wa mahakama basi wakaamua kuja na mtindo huo,kwa vile nilikuwepo mahakamani jana niligundua kuwa hao masked police walikuwa na ma bodyguard wao nyuma yao. Cc Cute Wife
 
Wakuu,

Moja ya matukio yaliyonishangaza jana kwenye kesi ya Lissu pale Kisutu ni baadhi ya polisi kuvaa mask kama za majambazi ambao hawataki kujulikana sura zao!

Nilijiuliza mengi sikupata majibu! Kwanini wavae vile wakati zinahusishwa na matendo ya kiuhalifu? Kwanini wajizibe sura kwanza? Ni sehemu ya sare yao? Kama ndivyo ina maanisha nini? Kama si sehemu ya sare kwanini wazivae?

Matukio mengi ya asiyojulikana yamekuwa mengi wakatk huu na moja ya kitu wanafanya ni kujiziba sura (kutokana na maelezo ya manusura) ili wasitambulike. Sasa hawa kuvaa hivi, kuna ka uhusiano na wale wanaohusika kwenye utekaji, maana tunaambiwa huwa wanajitambulisha kama polisi na wana silaha za polisi, je mavazi hayo yanatoka huko?

Yaani maswali mengi, kama hiyo ni sehemu ya sare zao lengo ni nini hasa? Au Lissu alikuwa anatoa harufu mbaya ikabidi wajifunike gubi gubi wasitapike? 😂🤣

Utani pembeni, hili limenishangaza na kunifikirisha, mwenye majibu njoo utuondoe vumbi.
Ni vitu vya kushangaza kwa kweli. Na hakimu anaruhusuje mahakama kuendelea huku kuna watu wameficha sura zao? Wakifanya uhalifu na kutoweka nani atalaumiwa?
 
Na wao wanafamilia unajua kumsindikiza mtu maarufu na wewe unakuwa maarufu kwa wanaochukia CCm.
Anaona bora kuficha kuliko kujivisha ushungi kama s100
🤔🤔🤔 kwamba hiki ndio kisingizio cha wachache kuvaa? Kama ni hivyo kwanini na wengine wasivae? Au wao wengine walikuwa invisible?
 
Ni vitu vya kushangaza kwa kweli. Na hakimu anaruhusuje mahakama kuendelea huku kuna watu wameficha sura zao? Wakifanya uhalifu na kutoweka nani atalaumiwa?
Hili ni swali jingine, wakiingia na kubomb mahakama watamshika nani na watu wamekuja wamejiziba sura?!
 
Binafsi nimehisi watakuwa ni watu wa kitengo waliovalishwa gwanda za askari magereza maalum kwa ajili ya kuikusanya taarifa za mawasiliano ya Lissu na wote anaowasiliana nao kuhusu mwenendo mzima wa kesi.
Hata mimi nilihisi hivyo, hao sio askari Magereza.
 
Back
Top Bottom