Kulikoni pensheni inayotoka hazina

Kulikoni pensheni inayotoka hazina

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,190
Mimi ni mmojawapo wa Wastaafu wanaopata pensheni kutoka Hazina. Mpaka tarehe ya leo pensheni yangu haijaingizwa kwenye akaunti yangu ya Benki. Kwa utaratibu pensheni inatakiwa iwe imeingia kwenye akaunti za Wastaafu siyo zaidi ya tarehe 1 ya mwezi unaofuata.

Tunaomba mtujali sisi Wastaafu na tuna hali ngumu huku mitaani.
 
Tulia wenda na kustaafu kwenu ,ndo mmelifikisha Taifa hili lilipo , vuneni mlicho panda ,pumbavu
 
Mimi ni mmojawapo wa Wastaafu wanaopata pensheni kutoka Hazina. Mpaka tarehe ya leo pensheni yangu haijaingizwa kwenye akaunti yangu ya Benki. Kwa utaratibu pensheni inatakiwa iwe imeingia kwenye akaunti za Wastaafu siyo zaidi ya tarehe 1 ya mwezi unaofuata.

Tunaomba mtujali sisi Wastaafu na tuna hali ngumu huku mitaani.
Bila shaka wewe ulikuwa unaisapoti ccm pindi ulipokuwa kazini,pole kwa changamoto unayokutana nayo, hii ndio maana tunadai katiba mpya
 
Mimi ni mmojawapo wa Wastaafu wanaopata pensheni kutoka Hazina. Mpaka tarehe ya leo pensheni yangu haijaingizwa kwenye akaunti yangu ya Benki. Kwa utaratibu pensheni inatakiwa iwe imeingia kwenye akaunti za Wastaafu siyo zaidi ya tarehe 1 ya mwezi unaofuata.

Tunaomba mtujali sisi Wastaafu na tuna hali ngumu huku mitaani.
Mkuu hivi utaratibu wa kutoa pesa za mstaafu kutoka hazina upoje? Anapata kwa mkupuo au anapewa kidogokidogo?

Na vipi mtu aliye fariki, ndugu zake wanapataje pesa za hazina na wanapewa kiasi gani. Na zina utofauti gani na hizo zinatoka kwenye NSSF au PSSF?
 
Pension iliingia kabla ya pasaka,
kutakuwa na shida mahali.
Pengine hujaenda kuhakiki.
Mkuu hivi utaratibu wa kutoa pesa za mstaafu kutoka hazina upoje? Anapata kwa mkupuo au anapewa kidogokidogo?

Na vipi mtu aliye fariki, ndugu zake wanapataje pesa za hazina na wanapewa kiasi gani. Na zina utofauti gani na hizo zinatoka kwenye NSSF au PSSF?
 
Ukiwa Mstaafu na tayari unajulikana na Hazina kuwa wewe ni Mstaafu na una check number basi itabidi Hazina wakuingizie pensheni yako kwenye akaunti yako ya Benki jinsi mliyokubaliana. Utaratibu huu unafanyika kila mwezi mpaka hapo Mungu atakapokuchukua duniani.
 
Yaani swali ni kwamba pesa inakua kiasi gani. Na vipi kama huyo mstaafu huyupo duniani.
 
Tunawashukuru HAZINA. Naona wameweka pensheni yetu ya kila mwezi asubuhi hii. Ahsanteni sana.
 
Ukiwa Mstaafu na tayari unajulikana na Hazina kuwa wewe ni Mstaafu na una check number basi itabidi Hazina wakuingizie pensheni yako kwenye akaunti yako ya Benki jinsi mliyokubaliana. Utaratibu huu unafanyika kila mwezi mpaka hapo Mungu atakapokuchukua duniani.
Watajuaje haupo duniani?
 
Vijana mjipange sana. Huku mitaani maisha ni magumu sana. Tulikuwa na marafiki wengi tulipokuwa kazini lakini wengi wametukimbia kwa sababu hatuna faida tena kwao. Kijana kama bado uko kazini jitahidi sana uwekekeze kidogo kidogo. Jenga nyumba, nunua kiwanja, nunua shamba n.k. Mfano niliweza kununua kiwanja mjini mwaka 1983 kwa shillingi 300,000 leo hii nimekiuza Tshs.70m. Vijana acheni anasa. Fikiria iko siku. Vijana jengeni familia kwa kuwasomesha watoto.
 
Ahsante mzee wangu kwa kutukumbusha sisi vijana ambao ni wastaafu watarajiwa. Kwanza hongera sana kwa kufikia hatua ya ustaafu. Dunia ya sasa ni bahati kufika umri mkubwa kama wako maana vijana wanaondoka sana katika umri mdogo.

Hapo kwenye kiwanja cha laki 3 mwaka 1983, natambua kwamba wakati huo hiyo ilikua pesa nyingi sana. Nimeshangaa kuona umekiuza kwa milioni 70 tu. Kutoka 1983 hadi leo ni miaka angalau 42 hivi. Nimetamani kujua ulinunua sehemu gani. Pia nimetamani kusikia kutoka kwako, ukiachana na uwekezaji na akiba, unadhani muda ungerudi nyuma, ni vitu gani ungetamani kuvifanya ukiwa kijana na mtumishi wa serikali? Wasalaam.​
 
Vijana mjipange sana. Huku mitaani maisha ni magumu sana. Tulikuwa na marafiki wengi tulipokuwa kazini lakini wengi wametukimbia kwa sababu hatuna faida tena kwao. Kijana kama bado uko kazini jitahidi sana uwekekeze kidogo kidogo. Jenga nyumba, nunua kiwanja, nunua shamba n.k. Mfano niliweza kununua kiwanja mjini mwaka 1983 kwa shillingi 300,000 leo hii nimekiuza Tshs.70m. Vijana acheni anasa. Fikiria iko siku. Vijana jengeni familia kwa kuwasomesha watoto.
Ujumbe huu mzuri tunauchukua kwa utekelezaji.
 
Back
Top Bottom