Kulikoni NSSF Arusha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni NSSF Arusha?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimbo, Mar 8, 2012.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Wana JF, naombeni msaada/ushauri.
  Mimi ni mwanachama wa mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF, na huwa nalipiwa matibabu yangu na mfuko huu.
  Nilishaenda hospitali mara mbili kwa nyakati tofauti, nikaambiwa "Pole, kwa sasa tunamatatizo na NSSF, na tumesimamisha huduma kwa wagonjwa wote wanaolipiwa na NSSF, hivyo itabidi ulipie matibu kama unataka tukupe huduma". Kutukana na hali hiyo ilibidi nilipie matibabu/huduma. Baada ya hapo, kuna siku nilirudi hapo, nikapata huduma kama kawaida chini ya NSSF.

  Mwezi wa 12/2012 nilirudi tena hapo, nikakuta lile tatizo la mwanzoni "Pole, kwa sasa tunamatatizo na NSSF, na tumesimamisha huduma kwa wagonjwa wote wanaolipiwa na NSSF, hivyo itabidi ulipie matibu kama unataka tukupe huduma". Niliwauliza kunashida gani, wakanijibu wanaidai NSSF. Kutukana na hali hiyo ilibidi nilipie matibabu/huduma.
  Niliwasiliana na mfanyakazi mmoja wa NSSF kutaka kujua nini kinachoendelea kati ya NSSF na hospitali hiyo, na kama tatizo lipo kati ya NSSF na hosipitali hiyo tu au na hosipitali zote zilizo ingia mkataba na NSSF. Mfanyakazi huyo aliniambia, NI KWELI TULIKUWA NA TATIZO NA HOSIPITALI HIYO, KWANI HOSIPITAILI HIYO ILIKATAA KUSAHINI MKATABA MWENGINE NASI BAADA YA KUWALIPA FEDHA WALIZO KUWA WANADAI, LAKINI KWA SASA MAMBO YAMEISHA NA HUDUMA ZINAENDELEA KAMA KAWAIDA.

  Nikamwuliza, je gharama nilizotumia pale hosipitalini wakati wa mzozo wenu nitarudishiwa au vipi? Akanijibu, hautarudishiwa.

  Wana JF naombeni ushauri nifanye nini kwa hili lililotokea? Je kuna yeyote aliye wahi kukumbana na tatizo kama hili na alifanyaje?
  ambaye alini
   
 2. S

  Shansila Senior Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama yameisha uchune ndugu,songa mbele.Hii nchi imeuzwa kitambo.
   
 3. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Mh!!!!!! umeshaumaliza mwaka wewe???
   
 4. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Tehe Tehe Tehe hii Nchi ya wahuni, forget it and move forward!
   
 5. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hoooo, sorry, just typing error. Ni 12/2011

  Thanks
   
 6. kisungu

  kisungu JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2013
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 784
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  we nawe kutokana unaandika kutukana,
   
 7. Sanoyet

  Sanoyet JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2013
  Joined: Apr 3, 2013
  Messages: 1,328
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Na aliyeuziwa lazima ni mvietnam
   
Loading...